Kishore Kumar Hits

Matata - Gengetone Love lyrics

Artist: Matata

album: Gengetone Love


Hi ni pepe, kaa barua hua
Sio ma Pepe ya Martha karua
Tangu ni vishe Pete, Nyani sijauwa
Lazima ni pepete, iwe jua ou mvua
Mi kwangu dem Sura tabia tutarekebisha
Na size pia hu matter I sey, acha kubisha
Ebu ambia jirani aweke pazia kwa drisha
Juu nikona patrisha Alicia tuna bingrisha
Unafanya mi ni imbe injili
Unafanya ni si nyonge tumbili
Unafanya mi ni imbe injili
Unafanya ni si nyonge tumbili
Come beiby come nikupe Gengetone love
Uuh beibe, Gengetone love
Kwama kama kupe nikupee
Gengetone love, love, loove
Gengetone love
Come beiby come nikupe Gengetone love
Uuh beibe, Gengetone love
Kwama kama kupe nikupee
Gengetone love, love, loove
Gengetone love
Kaa mapenzi ni kipofu, Mimi ndio stick
Wengine wako walk off mi Nita stick
Hii sio juju Kamote, yangu ni stick
How can I breath, na simu haupick
Nakufikiria zaidi ya vile nasahau
Mapenzi ni safari na ushakula fare
Wow, how, haki unanifanya how
Nimetupa rada imebaki nitupe mbao
Unafanya mi ni imbe injili
Unafanya ni si nyonge tumbili
Unafanya mi ni imbe injili
Unafanya ni si nyonge tumbili
Come beiby come nikupe Gengetone love
Uuh beibe, Gengetone love
Kwama kama kupe nikupee
Gengetone love, love, loove
Gengetone love
Kwama kama kupe nikupee
Gengetone love, love, loove
Gengetone love
Adisia sia love pills nikachoke
Utanyonga joint kwanza ama cork
Looo, umenigusa loo
Skiza punchlines si kelele za john (Aah)
Kes ni kes si budako ni Thegi joh
Mosh ni mosh utavuta gani joh
Drunk inlove niko tipsy na staga
Vi addictive, Attractive na go mimi
Gugu gaga
Unafanya mi ni imbe injili
Unafanya ni si nyonge tumbili
Unafanya mi ni imbe injili
Unafanya ni si nyonge tumbili
Come beiby come nikupe Gengetone love
Uuh beibe, Gengetone love
Kwama kama kupe nikupee
Gengetone love, love, loove
Gengetone love
Come beiby come nikupe Gengetone love
Uuh beibe, Gengetone love
Kwama kama kupe nikupee
Gengetone love, love, loove
Gengetone love

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists