Sitakuomba, ubaki na mimi Oh oh Ooh Sitakuomba Umenipotezea muda Nakupenda lakini Oh oh ooh Sitakuomba Juu mimi hapa ninavumilia Uchungu nausikia Na Mola atanipa subira Mimi hapa ninavumilia Uchungu nausikia Na Mola atanipa subira Mara Mia nilikupigia Ukirudi nitashangilia Bado mimi ninakungojea sana Ninakungojea sana Mara Mia nilikupigia Ukirudi nitashangilia Bado mimi ninakungojea sana Ninakungojea sana Whoa whoa whoa Whoa whoa Yeah Siku nyingi zimepita Moyo wangu wakungoja Si ningezaliwa kwingine Ningalipenda mwengine Siku nyingi zimepita Kwa majirani najificha Si ningezaliwa kwingine Ningalipenda mwengine Juu mimi hapa ninavumilia Uchungu nausikia Na Mola atanipa subira Mimi hapa ninavumilia Uchungu nausikia Na Mola atanipa subira Mara Mia nilikupigia (kupigia, kupigia) Ukirudi nitashangilia (shangilia, shangilia) Bado mimi ninakungojea sana Ninakungojea sana Mara Mia nilikupigia (kupigia, kupigia) Ukirudi nitashangilia (shangilia, shangilia) Bado mimi nina- (Kwani huoni na, kwani huoni na, kwani huoni na) Sikudhani utatoka, tulikuwa 'si pamoja Nilijua ni forever Sikudhani utatoka, tulikuwa 'si pamoja Nilijua ni forever Sikudhani utatoka, tulikuwa 'si pamoja Nilijua ni forever (wapi nitaenda) Sikudhani utatoka, tulikuwa 'si pamoja Nilijua ni forever Mara mia nilikupigia Ungerudi ningeshangilia Ni kweli mimi nilikungojea sana Nilikungojea sana