Maybe, baby, I should let you know Ya kwamba roho sasa imeamua Haina nguvu tena ya kuzunguka Kutoka leo kwako ninatulia And even if the sky should fall I will run to you and I will save ya Just to let you know ninakupenda So always know we'll be okay, mi na we hadi mwishowe Tutakuwa sawa (tutakuwa sawa) Tukiwa pamoja (tukiwa pamoja) Tutakuwa sawa, tukiwa pamoja Tutakuwa sawa (tutakuwa sawa) Tukiwa pamoja (tukiwa pamoja) Tutakuwa sawa, tukiwa pamoja Tukiwa pa- Wacha tu niseme tu Bila we sijui nini I would do Maybe ask the sun to dry the ocean Then walk across to find a way to be with you So tell my ex that I'll be okay Nimempata yule anayenipenda Toka January hadi tu December Popote unataka wewe sema, tutaenda Tutakuwa sawa (tutakuwa sawa) Tukiwa pamoja (tukiwa pamoja) Tutakuwa sawa, tukiwa pamoja Tutakuwa sawa (tutakuwa sawa) Tukiwa pamoja (tukiwa pamoja) Tutakuwa sawa, tukiwa pamoja Tukiwa pa-