Kishore Kumar Hits

Upendo Hai Choir - Unafikiria Nini lyrics

Artist: Upendo Hai Choir

album: Unafikiria Nini


Unafikiria nini
Ulimwengu ni wa shida
Sema unafikiria nini
Jihadhari usiibe
Unafikiria nini
Ulimwengu ni wa shida
Sema unafikiria nini
Jihadhari usiibe
Ndugu uliyebatizwa
Matendo unashiriki
Unawadanganya watu
Umemsahau Yesu
Ndugu uliyebatizwa
Matendo unashiriki
Unawadanganya watu
Umemsahau Yesu
Mlango wa Mbinguni
Huwezi kufunguliwa
Matendo yako
Yatakuzuia njiani
Umeacha msalaba
Umemezwa na dunia
Wewe utaungia jehanamu
Umeacha msalaba
Umemezwa na dunia
Wewe utaungia jehanamu
Kanisani umeacha
Ulikuwa unategemewa
Unajidanganya wewe
Na Mambo ya Ulimwengu
Kanisani umeacha
Ulikuwa unategemewa
Unajidanganya wewe
Na Mambo ya Ulimwengu
Ndugu uliyebatizwa
Matendo unashiriki
Unawadanganya watu
Umemsahau Yesu
Ndugu uliyebatizwa
Matendo unashiriki
Unawadanganya watu
Umemsahau Yesu
Mlango wa Mbinguni
Huwezi kufunguliwa
Matendo yako
Yatakuzuia njiani
Umeacha msalaba
Umemezwa na dunia
Wewe utaungia jehanamu
Umeacha msalaba
Umemezwa na dunia
Wewe utaungia jehanamu
Ole wako we mwenzangu
Unayesema umebatizwa
Unajidanganya wewe
Na mambo ya ulimwengu
Ole wako we mwenzangu
Unayesema umebatizwa
Unajidanganya wewe
Na mambo ya ulimwengu
Ndugu uliyebatizwa
Matendo unashiriki
Unawadanganya watu
Umemsahau Yesu
Ndugu uliyebatizwa
Matendo unashiriki
Unawadanganya watu
Umemsahau Yesu
Mlango wa Mbinguni
Huwezi kufunguliwa
Matendo yako
Yatakuzuia njiani
Umeacha msalaba
Umemezwa na dunia
Wewe utaungia jehanamu
Umeacha msalaba
Umemezwa na dunia
Wewe utaungia jehanamu

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists