Alipofika karibu, aliuona mji Akaulilia akisema Alipofika karibu, aliuona mji Akaulilia akisema... Laiti, Ungalijua hata wewe Katika, Siku hii yakupasayo amani Laiti, Ungalijua hata wewe Katika, Siku hii yakupasayo amani. Lakini sasa yamefichwa machoni pako Kwa kuwa siku zitakuja adui zako, Lakini sasa yamefichwa machoni pako Kwa kuwa siku zitakuja adui zako, Wata... 'po kujengea boma ikuzunguke Watakuzingira kukuhusudu pande zote. Wata... 'po kujengea boma ikuzunguke Watakuzingira kukuhusudu pande zote. Wata... 'pokusajili wewe na watoto wako Wasikiwachie jiwe juu ya jiwe Kwasababu hukutambua majira ya kujiliwa kwako Wata... 'pokusajili wewe na watoto wako Wasikiwachie jiwe juu ya jiwe Kwasababu hukutambua majira ya kujiliwa kwako. Watu wa Yerusalemu walitenda maovu Wakamchukiza muumba wao. Watu wa kizazi hiki, wametenda maovu Wamemchukiza, muumba wao. Watu wa Yerusalemu walitenda maovu Wakamchukiza muumba wao. Watu wa kizazi hiki, wametenda maovu Wamemchukiza, muumba wao. Yesu... anaililia dunia ya leo Yesu... anawalilia watu wa leo Wametenda dhambi kupindukia Wamemchukiza muumba wao. Yesu... anaililia dunia ya leo Yesu... anawalilia watu wa leo Wametenda dhambi kupindukia Wamemchukiza muumba wao. Laiti, Ungalijua hata wewe Katika, Siku hii yakupasayo amani Laiti, Ungalijua hata wewe Katika, Siku hii yakupasayo amani. Laiti, Ungalijua hata wewe Katika, Siku hii yakupasayo amani Laiti, Ungalijua hata wewe Katika, Siku hii yakupasayo amani. Njoo... Njoo... Njoo... Njoo... Kwake Yesu usamehewe Kwake Yesu utakasike Kwake Yesu utapona Siku moja utaingia mbinguni. Kwake Yesu usamehewe Kwake Yesu utakasike Kwake Yesu utapona Siku moja utaingia mbinguni. INTERLUDE Njoo... Njoo... Njoo... Njoo... Kwake Yesu usamehewe Kwake Yesu utakasike Kwake Yesu utapona Siku moja utaingia mbinguni.