Ninajua kwa hakika siku ikifika Nitarudi mavumbini nilipotoka Siku zangu za kuishi zitakapokoma Nitapumzika na taabu. Maisha ya dunia mafupi sana Leo upo pamoja na wapendwa Kesho wamekwenda Nikitambo Kidogo tu tunatoweka Waliohai wanajua watasinZia Wakisubiri sikuile ya hukumu Waliolala katika jina lake Yesu Ndio wataishi milele Inahuzunisha tutenganapo Lakini ni kitambo kidogo tu Yote yanakwisha Kumbukumbu zatoweka Twayasahau Lakini ipo habari Yakupendeza Kwamba bwana wangu atakuja Nazo nguvu nyingi Ataita, eh rafiki yangu amkaaaa