Hebu tu tafakari Mungu atutendeayo Jinsi anavyo tujali Jinsi anayo nilinda Uhai wetu upitao tumsifu ungalipo Ni ya ajabu sana Matendo ya bwana Mungu Kinachosikitisha hatuyadhamini kabisa Lakini bwana ni mwema kwetu Hawezi tuacha Ni ya ajabu sana Matendo ya bwana Mungu Twapasa kushuru Kwa baraka anazotupa Hakuna kitu kinacho uhai ni yeye Mungu pekee Tuwapo safarini Kifo kina tuandama Tafakari safari zote Kumbuka ile ajali Ulifanya nini mpendwa ukatoka umzima Ni ya ajabu sana Matendo ya bwana Mungu Kinachosikitisha hatuyadhamini kabisa Lakini bwana ni mwema kwetu Hawezi tuacha Ni ya ajabu sana Matendo ya bwana Mungu Twapasa kushukuru kwa baraka anazotupa Hakuna kitu wacha uhai ni yeye Mungu pekee Tulalapo usiku Twalala kama wafuu Asubuhi kunapo kucha Twadumu kuwa wazima Ni ratiba yake tusifu Ni mipango yake kwetu Ni ya ajabu sana Matendo ya bwana Mungu Kinachosikitisha hatuyadhamini kabisa Lakini bwana ni mwema kwetu Hawezi tuacha Ni ya ajabu sana Matendo ya bwana Mungu Twapasa kushukuru Kwa baraka anazotupa Hakuna kitu wacha uhai ni ye Mungu pekee Ohh bwana ni mwema kwetu Hawezi tuacha 3