Kishore Kumar Hits

Kwaya Ya Mtakatifu Kizito Makuburi - Mimina Neema lyrics

Artist: Kwaya Ya Mtakatifu Kizito Makuburi

album: Mimina Neema


Mimina kama vile zilivyojaa juu
Mimina ziteremshe tuzipokee Bwana
Mimina (Bwana)neema zako mimina
Kati yetu mimina
Neema tele mimina
Mungu wetu mimina (leo)
Neema nyingi mimina
Tufurahi mimina
Bwana mimina
Leo mimina
Ee Bwana mimina
Mimina (Bwana)neema zako mimina
Kati yetu mimina
Neema tele mimina
Mungu wetu mimina (leo)
Neema nyingi mimina
Tufurahi mimina
Bwana mimina
Leo mimina
Neema mimina
Mimina ulivyomimina kwa Abraham's
Mimina uwamiminiavyo wamchao Bwana
Mimina (Bwana) neema zako mimina
Kati yetu mimina
Neema tele mimina
Mungu wetu mimina (leo)
Neema nyingi mimina
Tufurahi mimina
Bwana mimina
Leo mimina
Ee Bwana mimina
Mimina (Bwana)neema zako mimina
Kati yetu mimina
Neema tele mimina
Mungu wetu mimina (leo)
Neema nyingi mimina
Tufurahi mimina
Bwana mimina
Leo mimina
Neema mimina
Mimina tujae nguvu za kukutukuza
Mimina tukazieneze sifa zako Bwana
Mimina (Bwana) neema zako mimina
Kati yetu mimina
Neema tele mimina
Mungu wetu mimina leo
Neema nyingi mimina
Tufurahi mimina
Bwana mimina
Leo mimina
Ee Bwana mimina
Mimina (Bwana) neema zako mimina
Kati yetu mimina
Neema tele mimina
Mungu wetu mimina leo
Neema nyingi mimina
Tufurahi mimina
Bwana mimina
Leo mimina
Neema mimina
Twakuinulia mikono huko uliko juu
Tazama wana wako tunaomba neema
Mimina neema mimina (Bwana)
Mimina neema mimina (leo)
Tunaomba Bwana mimina (ewe)
Mimina neema mimina
Mimina kwa wote tulioko hapa
Tujaze neema mimina
Mimina hata kwa walioko mbali
Peleka neema mimina
Mimina usiku mimina mchana
Mimina neema mimina
Mimina masika mpaka kiangazi
Daima neema mimina
Mimina neema mimina (Bwana)
Mimina neema mimina
Daima

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists