Tukianzia uzuri tu she got a gwan Tabia, heshima ndio duu, she got a gwan Mpaka kwa masista duu yeah Nabaki tu kusema uh she got a gwan Mara ya kwanza mi namuona East Zoo, Dodoma Ghafla nakajihisi kama mtu mwenye homa Kutoa salamu tu jibu lake ni noma Sauti yake tu nkajihisi nimepona Ndefu yake shingo, mwendo wa maringo Nilifurahi aliponiambia yuko single Sio siri mtoto huyu ameumbika Na kama akipita mbele ya watu kumi basi Nane kati yao lazima watababaika Hata hao wawili wivu tu umewashika Kila saa kwa Ngwair ndo amefika Nami naapa kamwe sintomuacha Mi naimani atanizalia mapacha Na hata kama bahati mbaya akiwa tasa Mnajua sitoweza kumuacha Na yote ni sababu tu she got a gwan Tukianzia uzuri tu she got a gwan Tabia, heshima ndio duu, she got a gwan Mpaka kwa masista duu yeah Nabaki tu kusema uh she got a gwan Sitosahau mara ya kwanza ameniruhusu Nimbusu, nitomase zake chuchu Naona fahari leo mpenzi uko na mimi Na ninaahidi milele ntakuthamini Sitojali ashatembea na wangapi Kuwa nawe maishani naona bahati Kila unapopita masela unawadatisha Babaisha, wanabaki macho juu juu Wakuonapo maduu wanakasirika Kunja ndita, wanabenua midomo juu Najua yote hiyo ni wivu tu Washakuzushia mambo mengi tu Ila wewe ndio my baby girl, mmoja wa pekee Siwezi kuwa na raha bila kuwa na wee Na kosa naomba unisamehe Nataka kuwa na wewe milele, okay, you got a gwan Tukianzia uzuri tu she got a gwan Tabia, heshima ndio duu, she got a gwan Mpaka kwa masista duu yeah Nabaki tu kusema uh she got a gwan Nionyeshe ulichonacho maa Nionyeshe zaidi ya nguo zako ulizovaa Nionyeshe zaidi ya ngozi yako ya kung'aa Nionyeshe kile ambacho kitanipa raha (hey hey hey) Girl, you got a gwan You're my number one And nia yangu mi ni kuwa nawe maishani Chochote unachotaka mi ntakupa weka imani Na mi naahidi kamwe wala sitokuacha njiani She got a gwan! Yes, I know Mama get busy, twende kwenye dance floor Unapokata kiuno matozi wanapagawa Utasikia sauti zao wakisema "yeah, yeah, yeah" Na atakae shobokea mi ntamtoa dunia Na kuanzia leo ntakuwa natembea mi na gun (ooh) Naona milupo imeanza kuntamani Basi malizia kinywaji twende zetu nyumbani Girl! Tukianzia uzuri tu she got a gwan Tabia, heshima ndio duu, she got a gwan Mpaka kwa masista duu yeah Nabaki tu kusema uh she got a gwan She got a gwan Girl, you got a gwan Uzuri kuwa na wewe sio siri naona furaha You got a gwan Girl, you got a gwan Oh baby wewe ndo my number one Number one, number one You're the one, aah