Kazi yangu ikiisha, nami nikiokoka Na kuvaa kutokuharibika Nitamjua mwokozi nifikapo ng'amboni, atakuwa wa kwanza kunilaki Nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso Nitamjua nitamjua kwa alama za misumari Furaha nitapata nikiona makao Bwana aliyoyatwandalia Nitamsifu mwokozi kwa rehema na pendo vilivuo nipa pahali mbinguni Nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso Nitamjua nitamjua kwa alama za misumari Nao waliokufa katika bwana yesu Nitawaona tena uko juu Lakni nifikapo kwake uko mbinguni Nataka kumwona mwokozi kwanza Nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso Nitamjua nitamjua kwa alama za misumari Milangoni mwa mji bwana atanipisha Pasipo machozi wala huzuni Nitauwimba wimbo wa milele lakni Nataka kumwona mwokozi kwanza Nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso Nitamjua nitamjua kwa alama za misumari Kazi yangu ikiisha, nami nikiokoka Na kuvaa kutokuharibika Nitamjua mwokozi nifikapo ng'amboni, atakuwa wa kwanza kunilaki Nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso Nitamjua nitamjua kwa alama za misumari