Kishore Kumar Hits

Emachichi - Hakuna Kama Wewe lyrics

Artist: Emachichi

album: Amenisamehe


Hakuna Mungu kama wewe Hakuna popote
Hakuna mwenye ishara kubwa kama wewe Mungu
Si kwa majeshi wala silaha ni kwa roho mtakatifu
Nguvu za giza zimeshindwa kwa jina la bwana yesu
Hosana(7)
Nguvu za giza zimeshindwa kwa jina la bwana yesu

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists