Kishore Kumar Hits

Martha Mwaipaja - Amenitengeneza lyrics

Artist: Martha Mwaipaja

album: Amenitengeneza


Nalikua muovu naye ameniosha
Amenifanya mpya kwaajili yake
Amenibadilisha naishii kwaajili
Ya wingibwa upendo na rehema
Zake zinazozidi ndani yanguu
Ninani awezaye kututenganisha
Na upendo wa Mungu eeh nani
Ni nani tena awezaye

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists