Staki staki staki staki Japokuwa sina changu kweli kuolewa staki Staki staki staki staki Japo kuwa ni mnyonge Mimi kunyanyaswa staki Siutaki usufuba usiokuwa na maana Siutaki usufuba usiokuwa na maana Siutaki usufuba usiokuwa na maana Siutaki usufuba usio kuwa na maana Naukata ukuruba kuwa n mbaya sana Naukata ukuruba kuwa n mbaya sana Naukuta ukuruba kuwa n mbaya sana Naukuta ukuruba kuwa n mbaya saba Kwako ww nimeshiba kunifanyia khiyana Kwako ww nimeshiba kunifanyia khiyana Kwako ww nimeshiba kunifanyia khiyana Kwako ww nimeshiba kunifanyia khiyan Mimi Staki staki staki staki Japokuwa sina changu kweli kuonewa staki Staki staki staki staki Japokuwa ni mnyonge mimi kunyanyaswa staki Umeifunza khisani ukae ukitambua Umeifunza khisani ukae ukitambua Umejitoa thamani uliotenda sio sawa Umejitoa thamani uliotenda sio sawa Umejitoa thamani uliotenda sio sawa Umejitoa thaman ulitenda sio sawa Umeingia hidharani watu wote wamejua Umeingia hidharani watu wote wamejua Umeingia hidharani watu wote wamejua Umeingia hidharani watu wamejua Corus Ulikusudia nini ukataka kunidhiisha x4 Kunitia mtihani vituko kunionyeshax4 Yakunitoa nyumbani sitodahau maishax4 Corus Kwel ww ni mjinga si mtu ni hayawanix4 Mambo kama yakushinda sababu kuyatamanix4 Ukanifanyia inda na kashifa mitaanix4 Corus Ulofanya na aibu kukwambia sitoshindwax4 Kuyapata matulubu nawe weema kuuvundax4 Ukujali yangu tabu na mazur niliyotendax4 Corus