Kishore Kumar Hits

Khadija Kopa - Usiitie Doa (feat. Khadija Kopa) lyrics

Artist: Khadija Kopa

album: Usiitie Doa (feat. Khadija Kopa)


Hahahaa,Ndoa ndowana Babuu
Ukijishebedua itakubanaaa
Eeh mama tarumbeta
Mwari anamelemeta yeoo ooh ooh
Sifa ninazopata eeeh
Aslay naozesha leo ooh
Baba harusi hongeraaa
Ndoa ni jambo kubwa mwanangu
Kaitunze heshima yangu uuh uuh uu
Chozi linanitoka mwanangu uuh uuh uu
(Pole we eeh)
Siamini macho yanguuu
Ndo hivyo
Eeeh babu harusi mshike taratibu
Usije ukafuta piko
Haraka ya nini wakati huyo ni mali yako koo ooo
Mwanangu ichecheme aaah
Ulofundwa usisemeee kwa watu
Usungo huoo
Maneno umungunyeee
Ya chumbani usiwape faida watuu mwanangu
Ndoa usitie doa mwanangu mwanangu
Ukitia doa ndoa utanitia haya
Ndoaa usitie doa
Ukitia doa ndoa utanitia haya mwanangu
Wanawake wa kisasa
Mnajifanya mna whatsapp, hehee...
Hamna muda wa kushughurikia
Waume zenu, mtashaaaa
Mkifanya mchezo wenzio watamuwa sapuuee, hehehe...
Ooooh oooh
Usipende kugombana na mume wakoo ooh
Hata kama kuna vitu vimekukwaza
Mwanamke busara
Rudi vikizidi vituko
Hakukutoa juu ya mti babu eeeeeh
Hapa ni nyumbani kwako hujafukuzwa
Eh Mashoga wataharibu ndoa yako
Watakupindua watamteka mume wako
Jitahidi kuwaheshimu wakwe zako
Hizo ndizo nguzo
Za kuitunza ndoa yako
Wivu usiuendekezeee utakutoa roho
Lakini usiwe kama zeze
Kwenye ndoa yako
We jitahidi upendeze uwarushe sana roho
Ila mbali usicheze na mume wako
Ndoaa usitie doa
Ukitia doa ndoa utanitia haya
Ndoaa usitie doa
Ukitia doa ndoa utanitia haya mwanangu
Mwanangu seketua aaah seketua
Baba seketua aaah seketua
Majirani seketua aaah seketua
Wahuni seketua aaah seketua
Nasema babu harusi mmemuona
Babu harusi eeh mmemuona
Babu harusi eeh mmemuona
Aah bibi harusi eeeh mmemuona
Oho bibi harusi wohoo wowooh mmemuona
Eeh baba ya mwari eeh mmeniona
Mhh mama ya mwari eeh mmemuona
Mwanaume harogwi eeeh
Anarogwa kwa mambo mambo mambo
Aslay na hangaika eei eei nisaidie
Wanangu
Ooh na hangaika eieeh eihh nisaidie
Wanangu
Babu harusi kahangaike eeieh usaidie
Wanao
Kaangaike eeieh usaidie wanao
Bibi harusi kahangaike eiee eeh usaidie
Wanao
Kahangaike eeieh eieeh usaidie wanao
End

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists