Kishore Kumar Hits

Pastor Anthony Musembi - Msaada lyrics

Artist: Pastor Anthony Musembi

album: Madharau


Solo (Msaada wangu niwewe Pekee yako
Msaada Wangu niwewe Pekee yako
Tumaini langu niwewe Pekee yako
Kimbilio langu nisaidie baba)
Msaada wangu niwewe Pekee yako
Msaada Wangu niwewe nahitaji Yesu
Msaada Wangu nisaidie
Unliniahidi bwana Yesu utakua pamoja nami nisaidie baba
Unliniahidi baba safarini nimeamadozi nisizame Yahweh nisaidie ee
Msaada wangu (msaada wangu) niwewe Pekee yako (Niwewe niwewe)
Msaada Wangu (baba) niwewe nahitaji Yesu (oooh)
Msaada Wangu (Yesu) nisaidie
Sadaka zangu nalete kwako zipokee baba Yahweh
Sadaka zangu nalete kwako sa ibaada Yahweh nisaidie (eh)
Msaada wangu niwewe Pekee yako
Msaada Wangu niwewe nahitaji Yesu
Msaada Wangu nisaidie
Msaada wangu niwewe Pekee yako
Msaada Wangu niwewe nahitaji Yesu
Msaada Wangu nisaidie
(Eh baba siwezi bila wewe nisaidie baba)
Kama ayubu batimayo na Hannah
Walioteseka (teseka) walipokulilia (walipokulilia)
Siku za bibilia uliwajibu baba wako wapendwa
Wanaokusubiri wa Imani na maombi wasaidie Yahweh
Msaada wangu (msaada Wangu) (niwewe pekee yako) niwewe Pekee yako
Msaada Wangu (baba) niwewe nahitaji (nakuhitaji Yahweh) Yesu
Msaada Wangu (jemedari) nisaidie (nisaidie baba)
Msaada wangu (nakuita) niwewe Pekee yako (Sina mwingine)
Msaada Wangu (Alfa na Omega) niwewe nahitaji Yesu (mmh)
Msaada Wangu (mmm) nisaidie
Panguza machozi ulienilia sana
Mateso nimeamuda utakumbukwa tu
Haliahidi bwana Yesu hatatenda mema
Kwako usubiri wewe ukimuomba sema msaada
Msaada wangu niwewe Pekee yako (msaada Wangu)
Msaada Wangu (sitakufa moyo) niwewe nahitaji Yesu (haijalishi Tena)
Msaada Wangu (msaada Wangu) nisaidie (nisaidie yesu)
Msaada wangu (himidi na sina) niwewe Pekee yako (nakulilia)
Msaada Wangu (baba baba) niwewe nahitaji Yesu (baba baba baba)
Msaada Wangu (nisaidie) nisaidie (nisaidie, siwezi bila wewe ee)
Nisaidie, baba nisaidie (nisaidie baba) nisaidie baba nisaidie
(Baba nakuomba unisaidie naja kwako mtumishi)
Nisaidie yahweh nisaidie (wamaisha yangu)
Nisaidie (eeh) baba nisaidie (wa wokovu)
Nisaidie (baba baba) baba nisaidie (kwa kazi yangu)
Nisaidie (baba) baba nisaidie (wa ndoa yangu)
Nisaidie baba nisaidie nisaidie yahweh nisaidie
Nisaidie baba nisaidie (naomba msaada Wangu saidia
Maisha yetu na ndoa yetu) nisaidie baba nisaidie

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists