Kishore Kumar Hits

Pastor Anthony Musembi - Nakuabudu Na Angalia lyrics

Artist: Pastor Anthony Musembi

album: Pacato Worship


Baba, mimi ninakuabudu
Baba, mimi ninakuabudu
Mbele zako ninainama, mimi ninakuabudu
Mikono yangu ninainua, mimi ninakuabudu
'Sema Baba (Baba, mimi ninakuabudu)
Mungu wa milele (Baba, mimi ninakuabudu)
Uniongoze Baba (mbele zako ninainama), nainama (mimi ninakuabudu)
Mikono yangu (mikono yangu ninainua, mimi ninakuabudu)
'Sema Baba (Baba, mimi ninakuabudu)
'Sema Baba (Baba, mimi ninakuabudu)
Mbele zako (mbele zako ninainama, mimi ninakuabudu)
Mikono yangu (mikono yangu ninainua, mimi ninakuabudu)
Jehova Shalom (Baba, mimi ninakuabudu)
Uabudiwe Baba (Baba, mimi ninakuabudu)
(Mbele zako ninainama, mimi ninakuabudu)
Mikono yangu (mikono yangu ninainua, mimi ninakuabudu)

Baba, mimi ninakuabudu
Baba, mimi ninakuabudu
Mbele zako ninainama Yahwe, mimi ninakuabudu
Mikono yangu ninainua, mimi ninakuabudu
'Sema Baba (Baba), Mungu wangu (mimi ninakuabudu)
Tunakuabudu Baba (Baba, mimi ninakuabudu)
Mbele zako (mbele zako ninainama), Ba-Ba-Baba (mimi ninakuabudu)
Mikono yangu (mikono yangu ninainua) maana hakuna kama wewe (mimi ninakuabudu)
'Sema Baba (Baba, mimi ninakuabudu)
Unaestahili Baba (Baba, mimi ninakuabudu)
Mbele zako (mbele zako ninainama, mimi ninakuabudu)
Mikono yangu (mikono yangu ninainua, mimi ninakuabudu)

Sisi wana wako tumekusanyika angalia (angalia Bwana)
Sisi wana wako tumekusanyika utuangalie, Yahweh (angalia Bwana)
Hata wa-Kenya tunakutizama utuangalie Baba (angalia Bwana)
Na kanisa lako linakusubiri uliangalie, Yahweh (angalia Bwana)
Na taifa lote linakuabudu uangalie Baba (angalia Bwana)
Walio na njaa wanakulilia uwaangalie Baba (angalia Bwana)
'Sema angalia Yahwe (angalia Bwana)
Angalia Baba (angalia Bwana)
'Sema angalia Yahweh (angalia Bwana)
Oh, angalia Baba (angalia baba)
'Sema angalia Baba, Baba (angalia baba)
Oh, angalia Jehova (angalia Baba)
Oh, angalia Baba (angalia Bwana)
Angalia Yahweh (angalia Baba)
Tunangoja, angalia Baba (angalia Baba)
Oh, angalia Baba (angalia Bwana)
Na kanisa lako linakusubiri utuangalie Yahweh (angalia Bwana)
Na taifa lote linakutizama utuangalie Baba (angalia Bwana)
Wasio na kazi wanakungojea uwaangalie Baba (angalia Bwana)
Hata watasa wanakwangalia uwaangalie, Yahweh (angalia Bwana)
'Sema aangalia Baba (angalia Bwana)
Angalia Jehova (angalia Bwana)
Oh, angalia Baba kwa huruma angalia Baba (angalia Bwana)
Kwa uwezo angalia baba (angalia Bwana)
Oh, angalia Baba (angalia Bwana)
Oh, halleluyah (angalia Bwana)
Halleluyah, halleluyah (angalia Bwana)
Angalia Jehova (angalia Bwana)
(Angalia Bwana)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists