Unatawala yahwe, usifiwe, ndio maana, unatawala Yahweh, Halleluya
Tena uinuliwe, Baba, usifiwe,
Hakuna kama wewe, uinuliwe Yahweh, halleluya
Ninakupenda baba, usifiwe, ninakupenda Baba, halleluya
Kipenzi changu Yahweh, usifiwe, sitakuacha Pekee
Kipenzi changu baba, halleluya
Tembea nami yahwe, usifiwe, ninakuabudu baba,
Tembea nami yahwe, halleluya
Eeh baba shuke hapa Sasa, usifiwe,
Shekinah glory shuke hapa sasa, halleluya
(Prayer)
Asante baba, wewe ni mwaminifu Jehovah
Tunakuabudu wewe tawala maisha yetu Jehovah
Kanisa inangoja taifa inakuabudu
Wewe tungoze jehoooo... Jehovah
Uhimidiwe bwana, usifiwe, hakuna kama wewe, uhimidiwe bwana, halleluya
Tena Ubarikiwe bwana, usifiwe
Jehovah wangu, ubarikiwe yahwe, halleluya
Tena Uinuliwe Yahweh, usifiwe
Jehovah mungu, unitawale bwana, halleluya
Eeh baba Uinuliwe mguuzi mungu,
Usifiwe, eeh Jehovah, Uinuliwe Yahweh, halleluya
Eeh baba Uinuliwe yahwe, usifiwe,
(Eeh baba) uinuliwe Yahweh
Baba utujaze tena usifiwe eeh baba Utulinde baba, halleluya
(Prayer)
Eeh baba tumishi wako waja mbele zako wewe Unanichunguza na wanadamu
Unanichunguza na ukaniokoa Mimi
Tusamehe Dhambi na makosa Utulinde na waovu
Na waoletu uminifu na taifa letu naomba unibariki familia yetu
Na taifa letu watumishi wako wanakufuta nakupenda sitakuacha ewe baba
Roho Mtakatifu, unijaze nangoja, roho Mtakatifu unijaze kabisa
Roho wa bwana unijaze kabisa roho wa bwana unijaze kabisa
Roho wa maombi, unijaze niombe, roho wa ushindi unijaze niishi
Roho wa bwana unijaze kabisa roho wa bwana unijaze kabisa
Roho wa maombi shuka Sasa niombe roho wa neema nisaidie niombe
Roho wa bwana (siwezi bila wewe) unijaze kabisa
(Siwezi baba) roho wa bwana (nisaidie) unijaze kabisa
(Nanyeynekea baba) Roho wa bwana (niweseshea baba)
Unijaze kabisa (unitakase) roho wa bwana unijaze kabisa
Roho wa bwana unijaze kabisa roho wa bwana unijaze kabisa
Unijaze mpya baba, unijaze mpya
Unishukie Yahweh, unishukie
Niumbie mpya Yahweh, niumbie mpya
Nikupendeze baba nikupendeze
Usinwache baba usiniache
Ukae nami mwokozi ukae nami
Milele yote baba milele yote
(Prayer)
Inua mkono yako mwabudu Jehovah niinue Jina lako tunakuabudu bwana
Поcмотреть все песни артиста