Kishore Kumar Hits

Ben Cyco - Asante lyrics

Artist: Ben Cyco

album: Asante


Nilipodhani Ati Hapo Ndio mwisho
Nilidhani Me Sina Suluhisho
Shetani Kaniandama Na Vitisho
Nikaamni Hapa Njia Haipo
Lakini Mungu Weweweh
Wasababisha Yasiyowezekana
Lakini Mungu Wewewe
Waitikia Me Ninapo Itana
Mola Na Umenizingira Na Favor
Sina Budi Kukuabudu
Tena Umefanya Ninameremeta
Umejawa Na Utukufu
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Ewe Mungu Wangu
Unasamehe Dhhambi Unaponya Magonjwa
Umenikomboa Kutoka Mauti
Umenivisha Taji Ya Huruma We Mola
Nitashukuru Na Nipaze Sauti
Pararara Pararara
Nitashukuru Na Nipaze Sauti
Pararara Pararara
Mola Na Umenizingira Na Favor
Sina Budi Kukuabudu
Tena Umefanya Ninameremeta
Umejawa Na Utukufu
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Ewe Mungu Wangu
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Ewe Mungu Wangu

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists