Kishore Kumar Hits

Bony Mwaitege - Tumekuja Kukuchukua lyrics

Artist: Bony Mwaitege

album: Tunapendwa Na Mungu


IEYEE YAAH!
Tumekuja kukuchukua
HAYAAYAYA YEEH!
Tumekuja Kukuchukua wewe
IEYEE YAAH!
Tumekuja kukuchukua
Mtoto wetu twendewe
Tumekuja kukuchukua wewe
Ooh Bibi harusi
Tumekuja Kukuchukua
Bibi harusi twende mama
Tumekuja Kukuchukua wewe
Ooh Bibi harusi
Tumekuja kukuchukua
Bibi harusi twende wetu mama
Tumekuja Kukuchukua wewe
Wazazi wako tumeelewana
Tumekuja Kukuchukua
Wameturuhusu tuondoke nawe
Tumekuja Kukuchukua wewe
Bibi Harusi Twende
Tumekuja Kukuchukua
Bibi Harusi twende Mama
Tumekuja Kukuchukua Wewe
Ahi!
Tusingeweza kukuchukua bila ruhusa ya wazazi wako
Bibi Harusi Wewe
Ndio maana tulisafiri kwenda kuwaomba wazazi wako
Ili turuhusiwe
Zawadi mbali mbali tuliwapelekea
Tunashukuru Mungu walizipokea
Tulipowaomba tukuchukue
Kuna taratibu tuliambiwa tuzifuate
Taratibu zote tulizifwata
Hapo ndipo tuliporuhusiwa
Tumepewa baraka zote wewe uwe mke wa kijana wetu
Bibi harusi wewe
Tumepewa baraka zote wewe uingie kwenye ukoo wetu
Bibi harusi wee
Tunamshukuru Jehovah
Tumekuja kukuchukua
Maombi yetu ameyasikia
Tumekuja Kukuchukua wewe
Tumeomba muda mrefu sana
Tumekuja kukuchukua
Kijana wetu apate mke
Tumekuja Kukuchukua wewe
Maombi yetu yamejibiwa
Tumekuja kukuchukua
Na wewe ndiye jibu la maombi yetu
Tumekuja Kukuchukua wewe
Sisi unaotuona
Tumekuja kukuchukua
Ni ndugu wa Bwana arusi
Tumekuja Kukuchukua wewe
Tumesindikiza ndugu yetu
Tumekuja kukuchukua
Tumekuja kukuchukua wewe Tumekuja kukuchukua wewe
Tunawashukuru ndugu zako
Tumekuja kukuchukua
Wametupokea vizuri sana
Tumekuja kukuchukua wewe
Bibi arusi twende wee
Bibi arusi Twende kwetu mama
Aah!
Tunatimiza maandiko
Tumekuja kukuchukua
Kama ilivyoandikwa
Tumekuja kukuchukua wewe
Mtu ataacha wazazi wake
Tumekuja kukuchukua
Ataambatana na mumewe
Tumekuja kukuchukua wewe
Tunatimiza maandiko
Tumekuja Kukuchukua
Kama ilivyoandikwa
Tumekuja kukuchukua wewe
Mtu ataacha baba na mama eeh!
Tumekuja kukuchukua
Ataambatana na mke wake
Tumekuja kukuchukua wewe
Bibi arusi twende wee
Tumekuja Kukuchukua
Malkia wetu twende mama
Tumekuja Kukuchukua Wewe
Usiogope twende
Tumekuja Kukuchukua
Yanatimizwa maandiko
Tumekuja kukuchukua wewe
Bibi Harusi
Ooh
Bibi Harusi
Twende Mama
Aayaah!

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists