Kishore Kumar Hits

Bony Mwaitege - Siku Zinakuja lyrics

Artist: Bony Mwaitege

album: Utanitambuaje


Injili inahubiriwa unaikata unakunja midomo
Wahubiri unawadharau yale wanayosema
Watumishi wa Mungu unayapuuza na kuona
Hayana maana Siku zinakuja mbaya sana
Mbele yako maandiko yanasema neno litatoweka
Siku zinakuja mbaya mbele yako
Hao wahubiri hautawaona tena
Wachungaji unaowaona kila siku
Siku zinakuja hautawaona tena
Wakati huo Yesu atakuwa kanyakuwa kanisa lake
Utawatafuta kote hautawaona tena
Mikutano ya injili unayoiona kila kona utaitafuta kote hautaiona tena
Siku zinakuja mbaya bora uokoke mapema
Ukichelewa neema itatoweka
Utalitafuta neno hautaliona
Utatamani kuokoka haitawezekana
Utalitafuta neno haiutaliona
Utatamani kuokoka haitawezekana
Siku zinakuja mbaya
Utalitafuta neno hautaliona
Utatamani
Utatamani kuokoka haitawezekana
Siku zinakuja mbele yako
Utalitafuta neno hautaliona
Utatamani sana
Utatamani kuokoka haitawezekana
Utakwenda makanisani
Utalitafuta neno hautaliona
Utatamani sana
Utatamani kuokoka haitawezekana
Utakwenda milimani kaka
Utalitafuta neno hautaliona
Huku machozi yakikutoka
Utatamani kuokoka haitawezekana
Mpokee Bwana Yesu maadamu anapatikana
Ukubali wokovu maadamu neema ipo
Ukichelewa ndugu yangu nakuambia
Utakuja kujuta utafananishwa na kizazi cha Nuhu
Nuhu aliposema tujenge safina watu walicheka
Baadaye walimkumbuka Nuhu
Asira ya Bwana iliposhuka
Walimtafuta Nuhu hawakumwona tena
Hivyo itakavyo kuwa kwako wewe unaye ghairi neno leo
Utalitafuta neno hautaliona
Utatamani kuokoka haitawezekana nakwambia
Utalitafuta neno hautaliona
Utatamani kuokoka haitawezekana
Siku zinakuja mbaya
Utalitafuta neno hautaliona
Utatamani
Utatamani kuokoka haitawezekana
Siku zinakuja mbele
Utalitafuta neno hautaliona
Utatamani sana
Utatamani kuokoka haitawezekana
Utakwenda makanisani
Utalitafuta neno hautaliona
Utatamani sana
Utatamani kuokoka haitawezekana
Misikitini na makanisani
Utalitafuta neno hautaliona
Utatamani
Utatamani kuokoka haitawezekana
Utakwenda milimani na mabondeni
Utalitafuta neno hautaliona
Utatamani sana
Utatamani kuokoka haitawezekana
Machozi yatakutoka sana
Utalitafuta neno hautaliona
Utatamani
Utatamani kuokoka haitawezekana
Siku zinakuja mbele
Utalitafuta neno hautaliona
Utatamani
Utatamani kuokoka haitawezekana
Siku zinakuja mbele
Utalitafuta neno hautaliona
Utatamani
Utatamani kuokoka haitawezekana
Siku zinakuja mbele
Utalitafuta neno hautaliona
Utatamani
Utatamani kuokoa haitawezekana

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists