Kishore Kumar Hits

Godfrey Steven - Tunategemeana lyrics

Artist: Godfrey Steven

album: Tunategemeana


Tunategemeana - Godfrey Steven
Wale wa ng'ambo wanauliza mmewezaje?
Wale wa ng'ambo wanajubu mnashindwaje?
Wale wa ng'ambo wanauliza mmevukaje
Na ng'ambo inajibu mnashindwaje?
Mlichonacho hatuna tulichonacho Hamna eee
Basi tubadilishane tunufaike sotee
Ulinalo gumu kwako kwa mwingine rahisi
Unalo rahisi kwako kwa mwingine ni gumu
Sababubu kamwe mapito yanatofautiana
Tutiane moyo sote safari ni mojaa
Sababuuuuu
Tegemeana
Tunategemeana
(Tunategemeana)
Tegemeana
Tu watu wa baba mmoja
Wa baba mmojaaa
Soooteee
Tegemeana
Tunategemeana
Ili Giza litoweke lahitaji mwanga ujue
Tena hakuna mrefu pasipo na mfupi
Ukiona Daraja limejengeka ujue palionekana bonde kabla
Ooooh
Unalo rahisi kwako kwa mwingine ni gumu
Sababubu kamwe mapito yanatofautiana
Tutiane moyo sote safari ni mojaa
Sababuuuuu
Tegemeana
Tunategemeana
(Tunategemeana)
Tegemeana
Tu watu wa baba mmoja
Wa baba mmojaaa
Soooteee

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists