Sifa ya mpishi kupika chakula kiive Sifa ya dereva abiria wafike Sifa ya msomi ni kusoma ili afauru Je waijua io sifa yake mungu Amewekeza yaliyomengi mazuri ndani Sababu anayo Imani na wewe Kushindwa timiza aliokupa uyo bwana Ni kumuangusha uyu mungu eemama Milele milele wewe si wakawaida Milele milele baba mama kazana Ukiona bahari basi jua awezafanya njia Ukiona ukame wejua awezaleta mvua Ukiona njaa anauwezo wa kukupa chakula Eeeh mama eeeh baba mwamini tuu Kama njia ni ngumu wahisi kama uwezipita ni miba Weee rudi anatamani umshirikishe Ameshategua mitego yako mingi kitu gani Aitwa mungu amewekeza vikubwa ndani mwako Milele milele wewe si wakaida Milele milele baba mama kazana Milele milele wewe si wa kawaida Milele milele baba mama kazana