Nyakati za giza nene, Stress kichwani akawa defender, Kanijaza nguvu barabara Na moyo kajachanua ndipo Kanieleza tabu zote Za zamani lengo lake ni Kunikamilisha Napokuwa mfalme humtumia Bwana kwa fadhili zake aliyejuu Sitaogopa ndipo kanieleza Magumu niliopitia hilo lengo Lake ni kunikamilisha Ni jemedari Mwana wa Mungu Mfalme mkuu kanielekeza Shida zote nilizo pitia Lengo lake ni kunikamiisha Say a daddy we Aaaaaah kunikimili Aaaaaah kunikamilisha Natazama iliandikwa Iije pata timia Nayapo mengi yaliandikwa Juu yangu yatakujatimia Kuna tetesi zasema Mbuyu ulianza kama mchicha Je,wajua namba tatu haezi kuwa Tatu Bila kuanza na moja Safari ya maisha yangu Baba najua kuna mengi Umeniandalia napasa Kuwa mstaarabu mwenye Hekima hakika nitafika, Tena Mungu wa milimani Ndiye pia ya bondeni ahadi Zake ni kweli Baba Nimejuwa taabu zote Za zamani lengo lake si kuniuwa Bali kunikamilisha,bali kunikamilisha