Daddy Owen once again haha (ogopa deejays) Juliani Utamu wa maisha msee Hujui kesho kuna nini Utamu wa maisha ni eti haujui kesho iko vipi (waambie) Utamu wa maisha nia eti haujui kesho iko viipi (ati nini) Utamu we Utamu we Utamu we Utamu wa maisha ni eti haujui kesho iko vipi Ombi langu kwako Baba Yakwamba kesho iwe siku njema Pia leo nimekipata bila pesa kweli utajuta Madharau kila corner Huku marafiki wanihepa Bila kazi heshima chini Majirani hawakudhamini Madharau kila corner Huku marafiki wanihepa Bila kazi heshima chini Majirani hawakudhamini Utamu wa maisha ni eti haujui kesho iko vipi nani (ahaa) Utamu wa maisha ni eti haujui kesho iko vipi (ati nini?) Utamu we Utamu we Utamu we Utamu wa maisha ni ati haujui kesho iko vipi Baraka alileta na trailer, akaniambia ati ni trailer ya more to come Utamu wa maisha kwa wengine ukali wa chupa Saa yako ikiharibika haimaanishi kesho haitafika Leo me ni mrasta kesho kichwa smooth ka logo ya ogopa deejays Mambo ikiwa ngumu ispell the other way round itakuwa Mungu Utamu wa maisha ni ati haujui kesho iko vipi nani (ahaa) Utamu wa maisha ni ati hauji kesho iko vipi (ati nini?) Utamu we Utamu we Utamu we Utamu wa maisha ni ati haujui kesho iko vipi Usinidharau leo na haujui kesho mimi ni nani (usinione hivi mseiya) Usinidharau leo na haujui kesho mimi ni nani (niko nini) Usinidharau Usinidharau Mimi ni nani Usinidharau leo na haujui kesho mimi ni nani Kesho pengine me ni president nina monument ndani ya parliament Kesho pengine mimi ni dakitari nawatibu kwenye hospitali Kesho pengine mimi ni footballer natinga bao hadi Europa Kesho pengine me ni mwanariadha medali nazo kadha wa kadha Kesho pengine me ni jaji mkuu naeza amua leo iwe sikukuu Kesho pengine me ni pastor nikupe ushuhuda nikiwa hustler Kesho una kametre kwa mawe unaota kuhusu miraa venye utashika metre aaah Utamu wa maisha ni ati haujui kesho iko vipi nani (ahaa) Utamu wa maisha ni ati haujui kesho iko vipi (ati nini?) Utamu we Utamu we Utamu we ahaa Utamu wa maisha ni ati haujui kesho iko vipi (hahaa) (Utamu wa maisha) Utamu wa mechi ni bao (Utamu wa maisha) Utamu wa njugu ni kukula moja moja Utamu we Utamu we Utamu we (Utamu wa maisha) Lakini utamu wa maisha ni Yesu