Msimamizi wa mipaka ya bahari Utunzaye ghala ya mvua Waamua vita ya jua na mwezi Upepo na mawimbi vyakujua Uketie mahali pa siri Patakatifu palipo inuka Wautangaza mwisho mwanzoni Hakuna usilo lijua Nani wa kulinganishwa nawe Jehova mwenye nguvu Ufalme wako ni wa zamani zote vizazi vyote Miaka kwako sio umri (miaka kwako sio umri) Vizazi kwako si ukomo (vizazi kwako si ukomooo) Miaka kwako sio umri (miaka kwako sio umri) Vizazi kwako si ukomo (vizazi kwako si ukomo) Mmh, wadumu milele (wadumu mileleee) Wadumu milele (wadumu mileleee) Bwana wadumu milele (wadumu mileleee) Eh, wadumu milele (wadumu mileleee) Wewe Bwana ni kama maji Maji yenye kina kirefu Maji yenye kina kirefu Kamwe hayapigi kelele Ni kweli kuna mabwana wengi Lakini wewe ni Bwana wa mabwana Ni kweli kuna miungu mingi Lakini wewe ni Mungu wa miungu Siku kwako sio vipindi Majira kwako sio ishara Ufikiwi kwa mnara wa Babeli Jina lako ni ngome imara aah Nani wa kulinganishwa nawe Jehova mwenye nguvu Ufalme wako ni wa zamani zote vizazi vyoteee Nani wa kulinganishwa nawe Jehova mwenye nguvu Ufalme wako ni wa zamani zote vizazi vyoteee Miaka kwako sio umri (miaka kwako sio umri) Vizazi kwako si ukomo (vizazi kwako si ukomo) Miaka kwako sio umri (miaka kwako sio umri) Bwana vizazi kwako si ukomo (vizazi kwako si ukomo) Wadumu milele (wadumu milele) Umejawa nazo siku nyingi (wadumu milele) Mwanzo na Mwisho viko ndani yako (wadumu milele) Umeshiba siku na utajiri (wadumu milele) Wadumuu milele eeh (wadumu milele) Eeh, wadumu milele (wadumu milele) Bwana wadumu milele (wadumu milele) Bwana wadumu milele (wadumu milele) Say yeah (yeah) Yeah (yeah) Yeah (yeah) Yeah (yeah) Say yeah (yeah) Yeah (yeah) Yeah (yeah) Yeah Nani wakulinganisha nawe, Jehova mwenye nguvu Ufalme wako ni wa milele yote Bwana