Kishore Kumar Hits

Joel Lwaga - Yote Mema lyrics

Artist: Joel Lwaga

album: Sitabaki Nilivyo


Hey eh eh
Mmh
(MJ records)
Aah (mema)
Aah (mema)
Aah (mema)
Aah (mema)
Aah (mema)
Aah (mema)
Aah (mema)
Aah (mema)
Ni rahisi kukusifu
Wakati wa mazuri
Ni rahisi kukushukuru
Yanapotokea mema
Ila ni ngumu kuamini
Kuwa hata na magumu
Nayo Mungu umeyaruhusu
Kwa kuniwazia mema
Umeruhusu mazuri
Nifurahi tena nikushukuru
Na mabaya ili niwe hodari
Na kisha nikusifu
Mbele umeniwekea fahari
Haya ni ya muda tu
Macho yangu yatazama mbali
Uliko utukufu
Yote mema (mema)
Yote mema (mema)
Hata magumu yana sababu
Yote mema (mema)
Yote mema (mema)
Sitalaumu, sitakufuru
Mh, sasa nimejua kuwa
Wewe uliyenipa samaki
Ndiwe pia umetaka wakati mwingine
Nipate nyoka
Tena nimejua kuwa wewe
Uliyenipa mkate
Ndiwe pia umetaka
Wakati mwingine nipate jiwe
Umeruhusu mazuri
Nifurahi tena nikushukuru
Na mabaya ili niwe hodari
Na tena nikusifu
Mbele umeniwekea fahari
Haya ni ya muda tu
Macho yangu yatazama mbali
Uliko utukufu
Yote mema (mema)
Yote mema (mema)
Hata magumu yana sababu (yana sababu)
Yote mema (yote mema)
Yote mema (mema)
Sitalaumu (sitalaumu), mimi sitakufuru (sitakufuru)
Aah, eeh
Aah,
Nimejifunza kuwa na shibe tena
Nimejunza kuwa na njaa tena
Kuwa nacho hata kutokuwa nacho
(Aah, ah)
Najua yote yanafanya kazi (kazi)
Ili kunipatia mema (mema)
Yamefanyika kama ngazi ya mimi kupanda
Yote mema (aah)
Yote mema
Hata magumu yana sababu (yana sababu)
Yote mema (yote mema)
Yote mema (yote mema)
Sitalaumu (sitalaumu), mimi sitakufuru (sitakufuru)
Machozi yana sababu (yote mema)
Kilio kina sababu (yote mema)
Kuachwa kuna sababu (hata magumu)
Hata magumu (yana sababu)
Yana sababu (yote mema)
Yote ni mema (yote mema)
Yote ni mema
Sitalaumu (mimi sitalaumu), sitakufuru (sitakufuru)
(Yote mema) kuachishwa kazi ni sababu (yote mema)
Kutelekezwa ni sababu (hata magumu)
Ey, yana sababu (yana sababu)
Kweli yana sababu (yote mema)
Kudharauliwa ni sababu pia (yote mema)
Yote mema
Sitalaumu (mimi sitalaumu), sitakufuru
Eh, eh (mema)
Yote (mema)
Ni mema (mema)
Ni mema (mema)
Ninashukuru kwa yote (mema)
Naiona sababu (mema)
Ya magumu pia (mema)
Nakushukuru kwa mazuri pia (mema)
Aah,
(MJ Records)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists