Kishore Kumar Hits

Sam Wa Ukweli - Sina Raha lyrics

Artist: Sam Wa Ukweli

album: Distant Romantics


Mmmmmh aaaah
Mmmmh
Kila siku mimi naumia na mawazo wapi ntapata mke mwema maishani
Wa kunifuta machozi
Nikasahau vile nilipotendwa zamani
Naona kama ngekewa ah
Mtoto mzuri kuwa nami maishani
Ninachomwambia ananielewa
Nampenda ananipenda sitomwacha silaani
Gari pesa sina ndio maana nakueleza mchumba
We wa gari na nyumba ama pesa ndio uchumba
Bora unieleze mchumba
Gari pesa sina ndio maana nakueleza mchumba
We wa gari na nyumba ama pesa ndio uchumba
Bora unieleze mchumba
Mi si mgeni wa mapenzi mwenzako
Maumivu nayatambua
Nipe nikupe ndio ishara ya upendo
Haiwezekani we daily unanizingua
Mimi si mgeni wa mapenzi mwenzako
Maumivu nayatambua
Nipe nikupe ndio ishara ya upendo
Haiwezekani we daily unanizingua
Nisipokuona sina raha eh
Naumia na mawazo ooh
Nisipokuona sina raha eh
Naumia na mawazo ooh(sema)
Kama haunipendi nijue haunipendi
Haiwezekani we daily unanizingua
Kama haunipendi nijue haunipendi
Haiwezekani we daily unanizingua
We ni mgonjwa na unahitaji mtabibu
Mimi ni daktari kila maradhi nitakutibu
We ni mbora kama tunda dhabibu
Nikabidhi moyo halafu nijue wapi ntatibu
Au ndio uniamini
Unajua ukinipa ntakuchezea
Au ndio uniamini mama
Unajua ukinipa ntakuchezea
Unaonekana mpango mzima kama unavyong'aa
Una mapenzi ya dhati ukajilavsisha
Wenye magari na fedha wengi walishangaa
Ukawakana ukasepa bila jibu pokea
Unasifika kiuzuri nyingi tabia njema
Kiukali kiukweli mi siwezi mimi
Ulinyanyua kinywa chako mwenyewe ukasema
Hakuna unayempenda zaidi ya mimi
Unasifika kiuzuri nyingi tabia njema
Kiukali kiukweli mi siwezi mimi
Ulinyanyua kinywa chako mwenyewe ukasema
Hakuna unayempenda zaidi ya mimi
Hakuna unayempenda zaidi ya mimi
Iweje unanizingua aah mama
Iweje unanizingua
Nisipokuona sina raha eh
Naumia na mawazo ooh
Nisipokuona sina raha eh
Naumia na mawazo ooh(sema)
Kama haunipendi nijue haunipendi
Haiwezekani we daily unanizingua
Kama haunipendi nijue haunipendi
Haiwezekani we daily unanizingua
Wewe tu mbona unanizingua
Sam Wa Ukweli ingekuwapo umelema aah
Motion Records saka
Dawa ya mapenzi

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists