Iyeee ye ye ye Iye ye ye Wo wo wo Ilikuwa inakuumaga ukiniona nae Ilikuwa inakuchomaga mwanaume wewe Ulitamani wewe ndo uwage mie Ndo maana nilivyo muacha ukaamua umuoe We hauna, we hauna Hauna moyo kabisa hauna We hauna, we hauna Ulumagiki hata kulika Hauna wewe Alivopika chakula ulikuwa wakaa jikoni sikujua ni kwanini Nilijua ushemeji tu Kumbe kule mlikua mnayapanga ya kwenu nyinyi Mpaka umemteka umekua gaidi juu uuh Nimekubali nimekubali Nimekubali nitamwita shemeji oh Nimekubali nimekubali Nimekubali nitamwita shemeji Aah Shemeji eeh Shemeji shemeji eeeh Kiroho upande Shemeji eeh shemeji shemeji eeh Kishingo upande Mara oh tunaendana unaomba tusije kuachana Eti Unatupendaga sana kumbe we nichora Kumbe nyuki mwenye laana Kaniacha manundu ya machana nilivyo beep Kapiga tu mapema ukasepa na sinyora Kama masihara umemvisha na shela We mbona ni mbaya oh Ni mbaya Sijui ulimpa dawa au ndo hela Ila yote sawa mi Nasema inshallah mungu atalipa Alivyopika chakula ulikuwa wakaa jikoni sikujua ni kwanini Nilijua ushemeji tu Kumbe kule mlikua mnayapanga ya Kwenu nyinyi mpaka umemteka umekua gaidi juu Nimekubali nimekubali Nimekubali nitamwita shemeji oh Nimekubali nimekubali Nimekubali nitamwita shemeji Aah Shemeji eeh Shemeji shemeji eeeh Kiroho upande shemeji eeh shemeji shemeji eeh Kishingo upande Nimekubali nimekubali nimekubali nitamwita shemeji oh Nimekubali nimekubali nimekubali nitamwita shemeji