Dar Es Salaam; Temeke, Ilala, Kinondoni Hii ni yetu sote La mgambo lishalia, eh kijana mwenzangu oh Mm-mzee wangu, hata wewe mdogo kwangu Tusafishe mazingira kwa afya yako na yangu Dar Es Salaama, jiji langu Mvua ni kazi ya Mungu Hapo hapo, ulipo safisha mazingira yako Uwe gado, ah yaiyaa eh Hapo hapo, ulipo safisha mazingira yako Uwe gado, mama maa Ule usemi unaosema Kila uchafu wa mbele yako Ni mali yako ondoa! Dar Es Salaam tufanye usafi eeh Temeke tufanye usafi eeh Tandale tufanye usafi eh Kilunguli tufanye usafi eh Nnavyokupendaga ehh Wewe usafi eh Unavyong'aa ng'aa kwenye madisco mpaka nadataga eh Mama Shabani, ebu fanya utoke Bwana Makonda eh, anataka usafi eh Iweje umalize kula ndizi utupe ganda Barabarani? Iweje eh unachafua jiji? Mkao mkao mkao wa kula jiji la Dar Es Salaam Tumempata kijana mwenzetu mwingi mwenye nidhamu Mkao mkao mkao wa kula jiji la Dar Es Salaam Tumempata kijana mwenzetu mwingi mwenye Nidhamu (Makonda) Usafi kwanza (Makonda) Yee yeiyee (Makonda) Safisha jiji baba eh (Makonda) Wanao tupo nyuma yako baba (Makonda) Tusafishe jiji baba Makonda Simu ninunue Tandale, nikapige selfie Oysterbay Wapi na wapi? Mmh Kwanini nisifanye Tandale iwe safi kama Oysterbay? Ni shing ngapi? Bora kutembea kumenifunza eh mie Kutembea kumenifunza Watu miji yao wanaitunza baba Miji yao wanaitunza, Paul Makonda Kijana we sharobaro unavyopendeza safisha na Jiji lako Ili ufanane nalo oh (ili upendeze) Si kutupia viwalo mazingira yako unayotoka Doro Kwepana na jambo hilo oh Jua kwamba ah ni burudani iih Jiji langu Dar Es Salaama likiwa ng'aring'ari eh Usiwe mzuri wa sura Mavazi pia tabia Wanakusifu sana eti mtaalam wa kuchana Jeans Uchafu Hauuoni Uchafu Hauuoni Wanakusifu sana eti mtaalam wa kuchana Jeans Masela ehh Majita ehh Mzazi kasema tufanye usafi tuunge mkono Nangu nangu bila andonya We shoga ake mama umeniona Ah nangu nangu bila andonya Ah shoga ake mama umemuona (anafanya usafi huyo) Mkao mkao mkao wa kula jiji la Dar Es Salaam Tumempata kijana mwenzetu mwingi mwenye nidhamu Mkao mkao mkao wa kula jiji la Dar Es Salaam Tumempata kijana mwenzetu mwingi mwenye nidhamu (Makonda) Usafi kwanza (Makonda) Yee yeiyee (Makonda) Safisha jiji baba eh (Makonda) Wanao tupo nyuma yako baba (Makonda) Tusafishe jiji baba Makonda Hapo hapo, ulipo safisha mazingira yako Uwe gado, ah yaiyaa eh Hapo hapo, ulipo safisha mazingira yako Uwe gado, mama maa aah Dar Es Salaam tupende usafi eeh Magufuli kataka usafi eh Wanafunzi tupende usafi eh Makonda kataka usafi eeh