Kishore Kumar Hits

Yamoto Band - Su lyrics

Artist: Yamoto Band

album: Su


We Ruby karibu Mkubwa na Wanawe(Ayaa)
We Ruby karibu Mkubwa na Wanawe(Ayaa)
We Ruby karibu Mkubwa na Wanawe(Ayaa)
We Ruby karibu Mkubwa na Wanawe(Ayaa)
Nachojua undugu ni ule wa damu,
Kuzaliwa tumbo moja,
We na mimi hatunaga uharamu,
Basi punguza uoga,
Nitakupa mapenzi matamutamu,
Napendaga namba moja,
Pilipili yawasha lakini tamu,
Tunapozaga na soda,
Nitamshawishi mama,
Ampende sana babako,
Sitokuchezea chezea,
Mdogo mdogo utazoea ee
Kupiga selfie selfie kila siku hazina maana
Nitadondosha simu makusudi tuonekane hatuna maana
Kupiga selfie selfie kila siku hazina maana
Nitadondosha simu makusudi tuonekane hatuna maana
Turubai nitandikie na mshamu usimamie
We mtoto wa baba eeh eeh eeh
Turubai nitandikie na mshamu usimamie
We mtoto wa baba eeh eeh aaah
Undugu kaunganisha baba kwa mama yenu nyie mnapaswa mniite dada na mniheshimu mie
Undugu kaunganisha baba kwa mama yenu nyie mnapaswa mniite dada na mniheshimu nyie
Hayii, kweli baba anaishi kwa mama yenu naomba sana dada yenu mniheshimu
Hili zizi la kondoo dume
We ni apple lazima uchumwe
Acha niombe Mungu kidume Ayeye yeeeh (aah)
Suu nitamwambia baba eeh nitamwambia baba eeh nitamwambia baba mnanisumbua(ah)
Suu nitamwambia baba eeh nitamwambia baba eeh nitamwambia baba mnanisumbua sana
Ruby,
Mama kaniambia nioe(nioe, nioe)
Ila mimi nataka nikuoe wewe Ruby
Ayii Ruby basi punguzaga kiwewe, niruhusu na mimi nikuite baby, (Hapanaaaah)
Funika kombe mwanaharamu apite(apite)
Mimi kwako wewe nitakifanya chochote(chochote)
Ruby si dada yangu,
Kusema tumetoka wote kwa mama yangu
Ukinipenda hakitokei chochote(aah aaah)
Pamparuma mlango wa chuma ukiufungua hauna huruma
Mama anataka mjukuu ya nini kuweka usiku
Pamparuma mlango wa chuma ukiufungua hauna huruma
Mama anataka mjukuu ya nini kuweka usiku
Maromboso
Wouwou uwoo yoo mama
Yoo iyo iyo yo mama mameee eeh eeh
Kwanza moja nikuambie
Wewe unaendana na mie
Wengine we wakunjie
Ni mimi tu niwe na wewe
Nataka kukufurahisha baby
Komando nitalinda kidonda
Nzi wasije fyonza
Nitaumia
Iyeee yoyo
Usiku viwaga vinanitoka aah(iyoo)
Mithili ya bomba limefunguka
Mimi mwenzio mmh
Nahisi waniita aaah
Aaaaah mwenzako pakacha lishafunguka eeeeeh
Hili zizi la kondoo dume
We ni apple lazima uchumwe
Acha niombe Mungu kidume Ayeye yeeeh (aah)
Suu nitamwambia baba eeh nitamwambia baba eeh nitamwambia baba mnanisumbua(ah)
Suu nitamwambia baba eeh nitamwambia baba eeh nitamwambia baba mnanisumbua sana

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists