Kishore Kumar Hits

Yamoto Band - Mama lyrics

Artist: Yamoto Band

album: YaMoto Band Singles


Tuna ambaa, ambaa, ambaa na pwani yetu, eh
Tuna ambaa, ambaa, ambaa na pwani yetu, eh
Fena Yamoto Band twafanya yetu eh
Fena Yamoto Band twafanya yetu eh
Umenifunza baya na zuri, kipi mi' sijasikiaga?
Ukanipaga na ushauri uweze kunisaidiaga
Zile teteme, nteteme hutaki kuzisikiaga
Nipambane, niweze kukusaidia mama, ayi
Yalionikuta, eh (naiona ngoma leo)
Oh, mama, eh (naiona ngondoo, mie)
Mama dunia sio mbaya, mama (naiona ngoma leo)
Oh, binadamu, mama (naiona ngondoo mie)
Ah-ah, mtoto, mtoto
Mi' kwako bado mtoto
Usitishwe na miko
Yamenishinda nimekuja kwako
Mama, oh mame, eh
Mama, oh mame, eh
Mwanao nimekua eh, najionea, eh
Mama, oh mame, eh
Mama, oh mame, eh
Yale ya dunia eh, ulioniambia, eh, aah-ah
Umenifunza, kuna kovu na ndui
Kuna masika na vuli, ndimu sio chungwa
Kuna maziwa na tui, mhmm
Pia simba na chui
Ae, mame, muda mwingine najisaidia
Hauchoki kufua, mama
Ae, mamee, muda mwingine nakuudhi pia (mama)
Haukunichukia, aya mama
Kipi nikufanyie? sikioni mie, sikioni mie
Kipi nikutendee? Sijaona mama
Ah, ninavyokupenda mama eh
Anaejua ni Mungu
Ninavyokupenda mama
Anaejua ni Mungu
Ninavyokupenda mwanangu
Anaejua ni Mungu
Ninavyokupenda mwanangu
Akulinde mwanangu
Usiku ukifika ulikuwa uki-force mapema mi' nilale
Hutaki nikeshe wakati kesho inabidi niende shule
Usiku ukifika ulikuwa uki-force mwanao mi' nilale
Hutaki nikeshe wakati kesho inabidi niende shule
Mama, uligombana na majirani, sababu mimi
Kunitetea hata kama kosa nafanya mimi
Cha kukulipa mimi sioni, hapa duniani
Nakuombea uishi miaka mingi we mommy
Nafurahia, najivunia, uwepo wako we' kwenye dunia
Nakuombea, miaka mia, uishi nisije potea njia
Na nafurahia, najivunia, uwepo wako we' kwenye dunia
Nakuombea, miaka mia, uishi nisije potea njia, mama wee
Mama adhabu alonipa baba yako
Miezi tisa umekaa tumboni mwangu
Furaha yangu kukuona machoni mwangu
Kila kukicha, kila kukicha n'namuomba Mungu
Kila kukicha, kila kukicha akulinde mwanangu
Mama eeh
Naogopa kupotea, we mama
Naogopa kupotea, nisije kukosa radhi
Naogopa kupotea, we mama
Mama yangu! Oh
Naogopa kupotea, we mama
Naogopa kupotea nisije kukosa radhi
Naogopa kupotea, we mama eh, ah-aa
Mama yangu oh
Mama nimekosea wapi n'nachotaka nitambue
Mama nimekosea wapi n'nachotaka mi' nijue
Mama nimekosea wapi n'ninachotaka nitambue
Mama nimekosea wapi n'nachotaka mi' nijue
Ah-ah, ninavyokupenda mama eh
Anaejua ni Mungu
Ninavyokupenda mama
Anaejua ni Mungu
Ninavyokupenda mwanangu
Anaejua ni Mungu
Ninavyokupenda mwanangu
Akulinde mwanangu
Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe
Aah, raha tumbo kuliona, eh
Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe
Aah, raha tumbo kuliona, eh
Ah, aah
Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe
Aah, raha tumbo kuliona, eh
Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe
Aah, raha tumbo kuliona, eh
Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe
Aah, raha tumbo kuliona, eh
Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe
Aah, raha tumbo kuliona, eh
Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe
Aah, raha tumbo kuliona, eh
Ah, aah
Ah, aah
Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe
Aah, raha tumbo kuliona, eh
Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe
Aah, raha tumbo kuliona, eh
Ah, aah

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Su

2016 · single

Similar artists