Nikiwaambia rafiki zangu shida zangu, wooo Wengi wao hunihurumia Nikiwaambia wazazi wangu shida zangu, wooo Hata wakipenda hawana jawabu Nikiwaambia rafiki zangu ninachopitia, mamamaa Wengi wao hunihurumia Nikiwaambia wazazi wangu ninachopitia kila siku Hata wakipenda hawana jawabu Nimeamua ni yesu Nitakayemwambia Wo oo ooo mi humwambia Yesu mwana wa mungu Mi humwambia Yeye hawezi shindwa Mi humwambia Wo oo ooo mi humwambia Mi humwambia,mi humwambia Nikiwaambia wanahabari shida zangu, wooo Kesho yake wanitangaza Nikiwaambia wanasiasa shida zangu, wooo Kwa uchaguzi wananitaja Nikiwaambia wanahabari ninachopitia, mamamaa Kesho yake wanitangaza Nikiwaambia wanasiasa ninachopitia, kila siku Kwa uchaguzi wananitaja Nimeamua ni yesu Nitakayemwambia Wo oo ooo mi humwambia Yesu mwana wa mungu Mi humwambia Yeye hawezi shindwa Mi humwambia Wo oo ooo mi humwambia Mi humwambia,mi humwambia Nimesongea karibu naye Muweza yote Anifunikie kwa mabawa yake Ndiye peke yake anilindaye Kwenye giza Majani mabichi yeye hunilaza Nimemuita Jehova nissi Bendera ya ushindi wangu, woo Yeye pekee halinganishwi Nimemuita Jehova shalom Bwana amani yangu Ni yeye pekee hunitosheleza Nimeamua ni yesu Nitakayemwambia Wo oo ooo mi humwambia Yesu mwana wa mungu Mi humwambia Yeye hawezi shindwa Mi humwambia Wo oo ooo mi humwambia Mi humwambia,mi humwambia Wo oo ooo mi humwambia Yesu mwana wa mungu Mi humwambia Yeye hawezi shindwa Mi humwambia Wo oo ooo mi humwambia Mi humwambia,mi humwambia