Nisaidie baba Nisiwai lala njaa Nisaidie baba Nisipatwe na balaa,hasara Iwe mbali namii Hata kwa biashara Ninachouza wanunue Nisibaki na bidhaa Aa aa aaaa Nisiwai kosa pesa Za kulipa nyumba ya kukodisha Pia unipe yangu Nisiishi sana ya kukodisha Jinsi ya kupata doo wewe baba ndio utanionyesha Utatoa vitu vinavyo nikondesha Aa aa aaaa,nisaidie Itakuaje baba jirani wanajua nimeokoka Navile mimi nitateseka Niko na deni hata kwa mama mboga Wameshanidharau,watakudharau Mungu wa ibrahimu Waonyeshe kwamba hujanisahau Uu uuuu uuuu Kama Shadrak,meshek,abednego Hata wanirushe kwenye moto Nikikosa ya dunia Bado Sitawainamia Aa aa aaaa,sitawainamia Aa aa aaaa,nisaidie Shadrak,meshek,abednego Hata wanirushe kwenye moto Nikikosa ya dunia Bado Sitawainamia Kwa kila kitu nifanyacho baba,nisaidie Kwa kazi ya mikono yangu baba,nisaidie Kwa kila kitu nifanyacho baba,nisaidie Uniweke mbali na balaa,unisaidie Niweke mbali na hasara baba,nisaidie Kwa kila kitu nifanyacho baba,nisaidie Nisaidie