Kishore Kumar Hits

Kushman - Watoto lyrics

Artist: Kushman

album: Watoto


Kalonje uuuh muguruki (muguruki muguruki muguruki)
Kasensi on the beat (maito maito)
Kushman pedi wa magenge
Wale mamanzi hupiga kelele kwa plot
Kaa si wajaka hao ni wa Coast
Wakamba ni jirani ya kila mtu
Chini ya maji atakusafishia kutu
Wakale wanapenda kazi
Wa-embu wanapenda kukata maji
Wakikuyu ni roho safi
Wa-Somali wote ni mali safi
Aah waluhya ni vita kwa ploti
Wakuria wadigo wote niwa-naughty
Wataita are the tightest
Kwa vita wapokot are the toughest eeh
Kaa unatafuta vidosho any other country is not an option
Najua Safaricom iko na watoto, lakini Kenya is the better option
Aah watoto
Consider Kenya kaa unataka watoto
Aah watoto
Toka huko Kenya ndo kuna watoto
Aah watoto
Consider Kenya kaa unataka watoto
Aah watoto
Toka huko Kenya ndo kuna watoto
Wameru wanakuanga ever ready
Na wakisii ni mapedi wa mapenzi
Wagiriama wanajua kupika chapati
Mjaka alinipikia chapati na shape ya samaki
Wabukusu wanajua kuchunga ndoa
Cheza nje ndo ujue kuku hukojoa
Alafu kuna wale wasupa hu-ng'oa
Babe ukiniplay hiyo lungu nitang'oa
Akuna mtu delicate kama waborana
Ukimwacha anaezajinyonga na kamba
Wadigo wanajua tu kugawa (eeh)
Na wanajua miti ni dawa
Kaa unatafuta vidosho any other country is not an option
Najua Safaricom iko na watoto, lakini Kenya is the better option
Aah watoto
Consider Kenya kaa unataka watoto
Aah watoto
Toka huko Kenya ndo kuna watoto
Aah watoto
Consider Kenya kaa unataka watoto
Aah watoto
Toka huko Kenya ndo kuna watoto
Wengine kwa plot kupimiana maisha
Punguza volume utapasua ndilisa

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists