Mungu, Mungu wa milele Baba, Baba wa milele Mungu, Mungu wa milele Baba, Baba wa milele Tunakusifu Mungu Tunakuinua Yahwe Tunakusifu Mungu Tunakuinua Yahwe Mungu, Mungu wa Milele Baba, Baba wa milele Mungu, Mungu wa Milele Baba, Baba wa milele Tunakusifu Mungu Tunakuinua Yahwe Tunakusifu Mungu Tunakuinua Yahwe Ninakusifu Mungu Ninakuinua Yahwe Ninakusifu Mungu Ninakuinua Yahwe Matendo Yako Yatushangaza Ukuu wako watushangaza Matendo Yako yatushangaza Ukuu wako watushangaza Nikulinganishe (Na nini) Nikufananishe (Na nini) Nikulinganishe (Na nini) Nikufananishe (Na nini) Mungu, Mungu wa milele Baba, Baba wa milele Mungu, Mungu wa milele Baba, Baba wa milele