Wakusifiwa wakuabudiwa ni wewe tu Mungu wa miungu(repeat) Ni wewe tu Bwana Mungu wa miungu, Mungu wa miungu Hakuna kama wewe Bwana Mungu wa miungu, Mungu wa miungu(repeat) Wastahili heshima na sifa Mungu wa miungu Haleluya (Repeat) -Astahiliye heshima utukufu na nguvu ni wewe tu Mungu wa miungu -Eeenh mamlaka ni yako heshima ni zako ni wewe tu Mungu wa miungu (Repeat) -Wastahili heshima zote Mungu wa miungu Twakusifu twakutukuza twakubariki ewe bwana (repeat) Eeeh umetukuka Eeenh unastahili Eenh tunakupenda Eenh twakuinua Eeenh twakubariki