Kama nchi kavu inavyotamani maji Bwana Na moyo wangu wakutamani wakutamani Bwana Ooh ooh ooh ooh ooh Bwana (Kama umande) Kama umande uangukao asubuhi (Uninyeshee) Uninyeshee Mvua yako Yesu Nakuhitaji Nakuhitaji Bwana Kama umande uangukao asubuhi Uninyeshee Mvua yako Yesu Nakuhitaji Nakuhitaji Bwana (Nina kiu nawe) Nina na kiu nawe Sina mwingine wa kunitosheleza (Nina na njaa nawe) (Nina njaa nawe) Sina mwingine Sina mwingine wa kunishibisha Nina kiu nawe Sina mwingine Wakunitosheleza Nina njaa nawe Sina mwingine Wakunishibisha Katika uwepo wako Kuna uzima Katika uwepo wako Kuna utoshelevu Yesu (Nakuhitaji Bwana wangu) Nakuhitaji (Yesu) Yesu (Wewe ni kila kitu kwangu) Wewe ni kila kitu kwangu (Yesu) Yesu (Nakuhitaji Bwana wangu) Nakuhitaji Yesu Wewe ni kila kitu kwangu Nijaze Nijaze (Nahitaji mguso wako) Nijaze (Nahitaji ujazo wako wa Roho Mtakatifu) Nguvu zako (Utakaonipeleka hatua nyingine) Nijaze (Hatua nyingine ya kukupenda Hatua nyingine ya kukujua wewe MUNGU wa kweli) Nijaze (Nijaze BWANA Haya ni maombi yangu) Nijaze (Nakuhitaji BWANA wangu) Roho wako Haya ni maombi yangu Bwana nijazwe na nguvu zako Nijazwe na uwepo wako Nakuhitaji Yesu Nakuhitaji Mfalme wa wafalme Bwana wa mabwana MUNGU mwenye nguvu BABA wa milele Hakuna mwingine alie kama wewe Oh haleluya Eee nijaze Nijaze Nijaze Nguvu zako Nijaze Nijaze Nijaze Roho wako