Leo ni kuskia poa Ata kaa unaokoa Kile ukonacho Ndugu yangu we toa Form ikijipa Amka katikaaa Kile unataka ndugu yangu we itisha Kuskia poa ndio form na mtindo Namjua poa na ananionyesha maringo Form mi utoa na okoa niko single Madam situmingle Kiuno kwa mdundoo Kuskia poa ndio form na mtindo Namjua poa na ananionyesha maringo Form mi utoa na okoa niko single Madam situmingle Kiuno kwa mdundoo Kuskia poa kwangu imekuwa mtindo Kagani kako single kakuje hapa tu mingle Kenye kameoga Kenye kanapenda usafi Juu mi ni mdirty lazma nichambue mali safi (Aaiiiii) Jaba kilo mbili mi ndio grinding machine Form ikijipa ni location unapin Kisuti kindege luku lazima utatiii Watoto ni wengi wauniitanga Dzaddy Paka kaluma kama inauma Juu vile tulianza usithani tunarudi nyuma (Eheee) Angry panda kuaribu Doba tunawatibu Si wako lakini songa na ye juu ako karibu Kuskia poa ndio form na mtindo Namjua poa na ananionyesha maringo Form mi utoa na okoa niko single Madam situmingle Kiuno kwa mdundoo Kuskia poa ndio form na mtindo Namjua poa na ananionyesha maringo Form mi utoa na okoa niko single Madam situmingle Kiuno kwa mdundoo Mangoko waunikuta wakidai niwasuke Napiga nakusonga inabaki ni washtukee Napiga twa twaa Nawacha kumelipuka Mbaka na fwatwaa Nawacha kumelipuka Aluta ni ya mathao ndio mi hupiga nazo order Mistari ni kibao zingine naweza offer Miushikisha na mbogi tukipimanga the weather Meza na chafua waiter anaita waider Madam akilegeza teke minamkemba Vile kameweza kamebeba mayezza Natoka kasarani Kuomoka natamani Big up kisirani Ndugu yangu fulani Kuskia poa ndio form na mtindo Namjua poa na ananionyesha maringo Form mi utoa na okoa niko single Madam situmingle Kiuno kwa mdundoo Kuskia poa ndio form na mtindo Namjua poa na ananionyesha maringo Form mi utoa na okoa niko single Madam situmingle Kiuno kwa mdundoo Nina daktari hunitibu Nakotini ye ndo katibu Minaskia poa sio aibu Nikuaribu kuaribu