Bado na Kumbuka mahono Niliyo yahona zamani Naliona bwana ameketi Aki zungukwa na halaiki Naliona watu makundi makundi Waki mwendeya wapewe haki Tena nali sikiya sauti za vilio Waki Mmiminiya machozi miguhuni Nasikiya majina yawatu yakitajwa Majina ya Inchi majina ya Viongozi Kutoka Aridhini Misituna ba Majini Sauti ya damu iki dai kisasi Naliona wingu jeusi la lahana Likipafunika kila penye zuluma Tena naliona malaika wa ole Wakipiga kelele kuwambiya watu Ole wako wewe utendaye dhuluma Ole wako wewe uoneyaye Ole wako gadhabu inakuja Ole wako ewe nji ya zuluma Ole wako inji iyi isiyo na haki Ole wako watu wanao dhuluma Ole wako inji iyi isiyo na haki Ole wako watu wanao Ole wako inji iyi isiyo na haki Ole wako watu wanao dhuluma Nalimwona kijana Jeuri Aliye muhumiza mwenzake Aka goma kumuomba msamaha Akizaniya yuko salama Naye aka sogeya kwa mungu Tena aka peleka na sadaka Ka mwacha ndugu take analiya Ka mwachiya mahumivu moyoni Jina lake lika tajwa Katika walio nganganiwa Jina lake lika daiwa Hadhabu Jina lake lika daiwa hukumu Yesu aka agidha agizo Niwahamboye watu wake Warekebishe makosa yao yote Kabla awaja lipa senti ya mwisho Hukumu yake ni kali kuliko (.dahi.) Gadhabu yake ya waka mama moto Ukitajwa jina lako uta hadhibiwa Akikishe umelipa senti ya mwisho Achana haraka na huyu shetani Achana haraka na huyu shetani Hata kufukisha pabaya Hata kufikisha pabaya Achana haraka na huyu shetani Achana haraka na huyu shetani Hata kufukisha pabaya Hata kufikisha pabaya Ole wako inchi isiyo nahaki Ole wako watu wao zulumu Ole wako inchi isiyo nahaki Ole wako watu wao zulumu Ole wako inchii isiyo nahaki Ole wako watu wao zulumu