Na na namjua Mungu Namjua Bwana Na na namjua Na na namjua Mungu Namjua yeye Na na namjua Alionekana sura yake kama malaika Moyo mweupe uliotulia akiwaza memaa Ukimtazama alivyopendeza anavutia Tabasamu lake hata mbinguni walilikubali Kama pilipili iliyotiwa kidondani na mkorofi Ndivyo furaha yake ilivyoondolewa na neno dogo Kama pilipili iliyotiwa kidondani na mkorofi Ndivyo amani yake ilivyoyeyusha na jambo dogo Nikaukumbuka uwongo wa shetani Mdanganya Eva Ukifanya hivi utayajua mema na mabaya Wakajisahau mema tayari waliyajua Nia ya shetani litaka wajue mabaya Nguvu ya kujua mabaya kuna madhara mengi Ni heri moyo wako ungejazwa na mambo mema Alipojua amepata kansa kafa mapema Hakuishi Alipojua mesalitiwa akazimia Alipojua kafukuzwa kazi kachanganyikiwa Angemjua Mungu ngepata neema ya kumsaidia Moyo wa mtu ni kichaka umehifadhi mambo mengi Uchungu, wivu na husuda na dhambi na mabaya mengi Mungu alipoumba mtu alitaka ajue mema tu Hakuthubutu kabisa ajue na mabaya Nguvu ya kufa mtu imebebwa kwenye ubaya Mkila tunda hili mtajua mema na mabaya Mkila tunda hili mavumbini mtarudi Lilikuwa ni tunda lenye kujua mema na mabaya Mema walishakuwa nayo Mungu hakuwa na shida Shetani alichokifanya Kuhakikisha wajue ubaya Hapo kikawa chanzo cha kifo Kikawa chanzo cha magonjwa Kikawa chanzo cha kilio Kikawa cha maumivu ooooh Ayayayaya, eeeeh, ayaaa Aaaah, ayayayaya Na na namjua Mungu Na na namjua Yeye ni chanzo cha amani Na na namjua Mungu Yeye ni mwaminifu Na na namjua Mungu wangu uuh Nguvu ya kujua mabaya kuna madhara mengi Ni heri Moyo wako ungejazwa na mambo mema Alipojua amepata kansa kafa mapema Alipojua mesalitiwa akazimia Alipojua kafukuzwa kazi kachanganyikiwa Angemjua Mungu ngepata neema ya kumsaidia Nguvu ya kujua mabaya kuna madhara mengi Ni heri moyo wako ungejazwa na mambo mema Alipojua amepata kansa kafa mapema Alipojua mesalitiwa akazimia Alipojua kafukuzwa kazi kachanganyikiwa Angemjua Mungu ngepata neema ya kumsaidia