Nakumbuka nikiwa mdogo mimi na ndugu zangu .tulikaa mezani Tulitembelewa na mgeni mwenye rika kama ye2 akaambiwa aombee chakula Aliiomba maombi mazuri wote tulifurahiaa Sio kwamba tulikua hatuombi ila tuliomba kwa kukariri Wazazi wetu waliposikia wakatunong'oneza ...tunataka nanyi mokoke muombe kama hiviiii Kwa wakat huo hatukujua nn maana ake Labda kwakua tulkua wadogo Kumbe mungu mbonguni anafuatiliaa Aliona shahuku ya wazaziii Leo hiii tumeshaokokaaaaa*2 Nikikumbuka hua nacheka wakati mwingne naliaa njia yangu haikua rahisi .nilisoma sana neno lamungu.nikajihurumia mwenyewe .yako wap matendo ya Mungu yalio hadithiwa humoooo Kwa huzuni nikaamua kufungaa ili nimueleze .nataka kujiuzulu hudumaaa... Maana majaribu kwangu hayaishi na ninazidi kuchakaa... ni bora uwape watu wengineeee.mzigo huu kwangu ni mzito kwangu kwanza mimi ni mdogooo (Ambweneee!!) Hivi unamugomea nanii Nimekupa kazi ya kufanyaaaa Ili ukishinda unavikwa tajiii (Hiv ujui majaribu ni mtajiiii) Embuuu songa mbelee Sasa nimejua siri ya Mungu vile anavyotujaliiii Yeye huona tusivyovionaa Huviona vikwazo vilovyombele hapendi tuangamieeeee Ndio maana hutuandaa mapemaa Tungefukuzaje maadui elfu bila kuanza na mmoja Yeye ashikapo kipimo chake apate kutujaribu kigezo chake ni uaminifuuu Hutumia mambo madogo madogo tuyaonayo halali ilikupima uaminifu wetuuu Angetuwekaje kwenye mambo makubwa ikiwa madogo hatuweziiiiiii (Nimegunduaa) Ni jambo moja kumwamini munguuu Nikitu kingine yeye kukwamini Mpaka akwite rafiki yake, akuonyesheee mbele za shetani Yahitaaaji uaminiiifuuuuu*2 Nilitiwa moyo na haya yotee.nikamwazimishaa yeye (Ni wew bwana) Ni wew niwewe(uliefanya haya yote) niwewe (ulieniokoaaa) Ni wewe bwanaaaaa * 2 Haleluyaaa Niwewe ulinitoa mbali Niwewe ulienishika mkono Ni wewe ulienivusha majaribu Ni wewe ulieniinua Ni wew bwana wanguu ni wew uliefanya yotee Ni wewe bwana wanguuuu Ni wewe jemedari wanguu uu Haleluyaaa!!!