Kishore Kumar Hits

Histórica Banda - Kenya - Ee Mungu Nguvu Yetu - Himno Nacional Keniano ( Oh Dios de Toda la Creación ) lyrics

Artist: Histórica Banda

album: Himnos Nacionales, Vol. 2 (Las Américas, África, Asia)


Eeh Mungu Nguvu Yetu,
Ilete baraka kwetu,
Haki iwe ngao na mlinzi,
Natukae kwa Undugu
Amani na Uhuru,
Raha tupate na ustawi.
Amkeni Ndugu zetu,
Tufanye sote bidii,
Nasi tujitoe kwa nguvu,
Nchi yetu ya Kenya,
Tunayoipenda,
Tuwe tayari kuilinda.
Natujenge taifa letu,
Ee ndio wajibu wetu,
Kenya istahili heshima,
Tuungane Mikono,
Pamoja Kazini,
Kila siku tuwe na shukrani.

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists