Kishore Kumar Hits

The Crane Band - Jambo Bwana Kenya lyrics

Artist: The Crane Band

album: Jambo Bwana Kenya


Jambo, Jambo bwana,
Habari gani,
Mzuri sana.
Wageni, Wakaribishwa,
Kenya yetu Hakuna Matata.
Kenya nchi nzuri,
Hakuna Matata.
Nchi ya maajabu
Hakuna Matata.
Nchi yenye amani,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata.
Watu wote,
Hakuna Matata,
Wakaribishwa,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists