Kishore Kumar Hits

Gosby - Speed lyrics

Artist: Gosby

album: Speed

Boy tuko full speed, wanangu wako home wanacheki movie
Najua nawaudhi, hata mseme nini hatununui iii

Gosby Carlito Brigante Tony Montana, wakiniona wenye wanahama
Hata siku moja huwezi kuniibia mi Namanga
Nawanangu Mzimu wa Babu we watakumunga
Demu wako yuko Maison unajua anadanga
Amekuzuga analala yuko huku anadanga
Akidaka chupa za Henny baadae wanammanga
We unajua baadae wa nammanga
Busisi life ni fupi
Sio sisi nahisi ni news
Full Biii that kid is too sick ni wa Biiii
Boy tuko full speed, wanangu wako home wanacheki movie
Najua nawaudhi, hata mseme nini hatununui iii
Boy tuko full speed, wanangu wako home wanacheki movie
Najua nawaudhi, hata mseme nini hatununui iii
Nacheki kama uko na name sikuoni bro
Ebu cheki again inamaana huoni soo
Hawa ndio wananiboa tena sio kidogo
Like how do you go out na huna cash
Like how you get money halafu zote unaenda kubet
Are you for real dawg? Is you for real dawg?
Fly boy utasema niko Chicago
Na fly doors my nigga that shit is Lambo
Wanacheka kwa mbali Huh Gozi mambo
Si mwaka jana mligoma kutoa mambo
Bobo my nigga amesema we're going viral
Boy tuko full speed, wanangu wako home wanacheki movie
Najua nawaudhi, hata mseme nini hatununui iii
Boy tuko full speed, wanangu wako home wanacheki movie
Najua nawaudhi, hata mseme nini hatununui iii

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

U

2016 · single

Similar artists