My honey tusingoje tomorrow Sweet sweet sipendagi viporo Umeniweka kwenye sero yamapenzi Nitaangaika ukiniacha kipenzi Kwako nimefika husiite juu we ngazi Mambo adharani siogopi paparazi Honey ndo kwanza umeukoreza ubani Mwezako hali yangu taabani Mi na ww tue puke tafarani Na tuenjoy mi na wewe baby Mpela mpela ooh baby mi na wewe Mpela mpela nakupa roho uipeleke Mpela mpela nimeridhia mwenyewe Mpela mpela mapenzi yangu mi na wewe (?????????????????) Honey ndo kwanza umeukoreza ubani Mwezako hali yangu taabani Mi na ww tue puke tafarani Na tuenjoy mi na wewe baby Mpela mpela ooh baby mi na wewe Mpela mpela nakupa roho uipeleke Mpela mpela nimeridhia mwenyewe Mpela mpela mapenzi yangu mi na wewe