Kishore Kumar Hits

Ommy Dimpoz - Baadae lyrics

Artist: Ommy Dimpoz

album: Ommy Dimpoz Chartbusters


Nampenda kama ringtone
Hana maringo, binti mtamtam
Swagga zake ziko simple
Hapendi bingo, haniishi hamham
Niko naye sina nyimbo, nikatoa single
Mpaka sasa nna album
Mimi mkali wa mitindo hata hategi mingle
Kitandani mashamsham
Kila siku mi niko naye
Ila siku hizi penzi linatia fora eh
Hata mama na papa eh
Wanasema umenizidi T.B.S. kwa ubora eh
Kila siku mi niko naye ila
Siku hizi penzi linatia fora eh
Dem mama eh dem papa eh
Wanasema umenizidi T.B.S. kwa ubora eh
Tukutane tena baadae eh, ai, baadae eh
Njoo unipe tena baadae eh, si, baadae eh
Usikose kuja baadae eh, ai, baadae eh
Nitakungoja baadae eh, si, baadae eh
Baadae eh, niko naye heey
Baadae eh, niko naye heey
Unang'aa bila lotion mkali wa fashion
Baby kama umechorwa eh
You got a temptation sitaki nikukose
Matajiri wakanipora eh
Penzi langu sio boshen usijipe question
Mimi ndiye mume bora eh
Wananipigia mission ili unitose
Nimemuachia mola eh
Kila siku mi niko naye
Ila siku hizi penzi linatia fora eh
Hata mama na papa eh
Wanasema umenizidi T.B.S. kwa ubora eh
Kila siku mi niko naye ila
Siku hizi penzi linatia fora eh
Dem mama eh dem papa eh
Wanasema umenizidi T.B.S. kwa ubora eh
Tukutane tena baadae eh, ai, baadae eh
Njoo unipe tena baadae eh, si, baadae eh
Usikose kuja baadae eh, ai, baadae eh
Nitakungoja baadae eh, si, baadae eh
Baadae eh, niko naye heey
Baadae eh, niko naye heey
Raha zote kwako napata, ai, napata
Umenichanganya nadata, si, nadata
Raha zote kwako napata, ai, napata
Umenichanganya nadata, si, nadata
Kila siku mi niko naye
Ila siku hizi penzi linatia fora eh
Hata mama na papa ehe
Wanasema umenizidi T.B.S. kwa ubora eh
Kila siku mi niko naye ila
Siku hizi penzi nilatia fora eh
Dem mama eh dem papa eh
Wanasema umenizidi T.B.S. kwa ubora eh
Tukutane tena baadae eh, ai, baadae eh
Njoo unipe tena baadae eh, si, baadae eh
Usikose kuja baadae eh, ai, baadae eh
Nitakungoja baadae eh, si, baadae eh
Baadae eh, niko naye heey
Baadae eh, niko naye heey

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists