Sitajuta kupendaa ingawa yaumiza moyoo Ninaumizwa kukosaa na kupewa likizooo Mimi sina makosa Mapenzi ya hofu ni kawaida Ni heri ukihisi jambo ulichunguze upate uhakika Mimiii sina makosa mapenzi ya hofu ni kawaida Ni heri ukihisi jambo ulichunguze upate uhakika Si ulisema mwenyewe nisipige simu wala kutuma meseji Na ukasema kwamba hupendi kuniona unaweza tokwa machozi Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia Hili limekaa haifai kunyamaziwa Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia Hili limekaa haifai kunyamaziwa Wivu ninao mi binadamu nimekamilika Ingawa muda sinao kila dakika naijutiaa (?) Sijui kwa nini tunakinzana Akati najua tunapendana Hatua zetu zinapishana Kwenye safari yetu ya mapenzi Si ulisema mwenyewe nisipige simu wala kutuma meseji Na ukasema kwamba hupendi kuniona unaweza tokwa machozi Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia Hili limekaa haifai kunyamaziwa Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia Hili limekaa haifai kunyamaziwa Lenye uhakika tulifate (Ye! ye) Lisilouhakika tuliache (Ye! ye) Si unajua nakupenda Si unajua achana nao Si unajua nakupenda Juujuu achana naoo! Si ulisema mwenyewe nisipige simu wala kutuma meseji Na ukasema kwamba hupendi kuniona unaweza tokwa machozi Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia Hili limekaa haifai kunyamaziwa Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia Hili limekaa haifai kunyamaziwa Hilo halifai kunyamaziwa Hilo halifai kunyamaziwa (Hilo haifai)! Haifaiiiii Hilo halifai kunyamaziwa