Kishore Kumar Hits

Msodoki Young Killer - Ngosha lyrics

Artist: Msodoki Young Killer

album: Msodokii Super Nyota


Now I feel great
Ukigusa upanga mmoja mbugu chini
Tuna celebrate hadi mwisho wa mechi ni dakika tisini
Cause am a central business kwa business
Muulize izoo business na hatuchanganyi business na life
Nawaona kwenye kombe la kahawa mnatia sugar
Shetani anamuingia yuda bishoo anjitia ninda hii ni miracle
Katikati ya mbuga nachana mbuga
Kuhusu taji langu la u king kupewa ni swala la muda tu
Whatever happen make it happen hakuna kukaa kizembe
Kwa kutumia ulimi usiupime ukali wa wemb
Ni kunyata umevaa moka surprise itaexpire
Anaeyejitia mwema kwa watu huyo ni mbaya
Nahitaji android sio twenty kama percent
Music we get barred while skills is ma parent
Nayoongea ni talent so you need to be silent
Hii ni big ilivyo biggy like Christopher wire
Haswa nawanywesha dawa kwa nguvu nimeona ni wagojwa
Sugu nikikosa pilipili kwenye supu naeka upupu
Ukitaka chuku ni chuku, ukitaka tupu ni tupu
Kwenye ulingo wa ngumi watu wamebeba mitutu
Baada ya blessing, mipango na cahsing
Ni hoja na sense waambie mtaa wa pili
Wafunge geti na washushe neti
Ma life is colourless, snitch you can't define me
Na siabudu salary cause things don run we
Bro, ukimess na mimi sikwepeki kwa kumvuta
Huezi saidia mtu aliyekanyaga breki
Unaeza kua unajua kusoma na kusomeki,
Ila haimanishi kua ety ukijua kuchora hauchoreki
Rabbana khafil dunia il khasannah
Ya allah utubariki usiku na mchana
Tuongoze kwa kila kitu ambacho tunafanya
Kwa maana mbele yako hakuna linaloshindikana, amen
I gat more rhymes haziesabiki hata kwa sense
Usipagawe na bling haitoshi ukiniita gangster
Bila mbolea tunastawi hatuhitaji mizoga ila akiingia
Mchawi kila abiria chunga mkoba
Mapenzi yamegeuka filam ma sister du wanna act
Usiamini akitabasamu utaachwa lonely na haumpati
Mashindano yanapotosha alafu washindi wana pangwa
Ni kama tusemavyo ngosha kua hizi propaganda
Zingatia vita huezi toa kwa ncha ya mshale
Itakua ni zaidi ya mambo ya kale
Asa dua zitawale kwa mishe ya hapa na pale
Ili mvua ikimwaga maji si tuohoze kama kambale
Yo, siku huisha kabla ya kuanza yaani mungu ndio ana panga
Fwata ili ujue njia ukienda mwanza usitokee tanga
Asa karibu mwanza niwafunze ukamanda mkinkuta twende sambamba
Muone miamba ilivyotanda kama ukutaa
Haya kama unataka kua kua kua nasi kua kua tayari wote
Yani mikono juu yani kaa kaa taayri oye hae hea
Haina baadae haaa
Sa twende twende twende sasa (do you remember me?)
Kwenye ulingo wa ngumi watu wamebeba mitutu
Ehhh bwana

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists