Kishore Kumar Hits

Shetta - Nimechokwa lyrics

Artist: Shetta

album: Nimechokwa


That's Stamina, baby
Mazoea yana tabu lakini yana mwisho wake
Mateso niliyompa ume futa matchozi yake
Mazoea yana tabu lakini yana mwisho wake
Mateso niliyompa ume futa matchozi yake (ka-pow!)
Kweli ya leo sio ya jana, ona
A to Z maumivu
Kweli ya leo sio ya jana, ona
Ona, A to Z maumivu
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (okay)
Nacho-choma, mazoea (what?)
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (nimechoka)
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (okay)
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (yeah)
Na cho-cho-choma, Mazoea
Sura yako inanipa picha kamili
Bila ya vitendo tayari nimeshaitabiri (mazoea)
Umekuwa mjasiri tena bonge la msiri
Hata kwenye tabu hutaki tu-solve wawili
Na, haifanani na kiburi bali umechokwa nami
Mi sijiulizi kwanini umalaya nimeufanya dini
Hata mashoga zako nawawinda niwavue bikini
Mi mkauzu kama mbuzi tena mchinjia baharini
Makosa yanajirudi nayote unayabaini
Ushahidi mpaka sibishi jinsi ulivyo makini
Machale mpaka na-doubt au unaongozwa na jini?
Maana umemkamata mwizi kabla ya siku arobaini
Mmoja poa tu kwako si mali kitu
Kama ngoma ni local mithili ya mchiliku
Mpaka nahisi mafala washanipiku
Mkuki kwa binadamu zaidi ya uchungu wa jipu
Umekuwa mvivu wa kutimba mahome
Hata kwenye sex unanigomea
Drama kama filamu mpaka kwenye couple
Kutesa kwa zam-zam, man
Kweli ya leo sio ya jana, ona
A to Z maumivu
Kweli ya leo sio ya jana, ona
Ona, A to Z maumivu
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (okay)
Nacho-choma, mazoea (what?)
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (nimechoka)
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (okay)
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (what?)
Na cho-cho-choma, mazoea
Unasema nawapanga vigoli kama mswati
Umalaya upo ndani ya damu kamwe siachi
Please, hebu nipe nafasi ku discuss
Mapenzi hayahitaji kulipiziana visasi
Wepesi kunijibu hautaki
Route zimezidi kama dereva taxi
Day after day unazidisha masharti
Hata kiss la shavu hutaki mbele ya umati
Natapatapa bila hata kukabwa koo
Kisa si zaidi ya uchokozi sipunde utanitoa roho
Seke-seke unazonipa ni zaidi ya ngoma draw
Maumivu yanafanana na hukumu ya death-row
Malumbano,vita ka CUF na CCM, duh
Umenichoka mpaka nahisi nipo kuzimu
Sometime ni shetani so inabudi tumrehemu
Let's forget about past please usinitoe damu baby
You got true love mpaka najiona kavu
Nipo tayari kutubu na msaafu
Ruksa nikirudia unibanike kama ndafu
Yeah, that's what's up
Kweli ya leo sio ya jana, ona
A to Z maumivu
Kweli ya leo sio ya jana, ona
Ona, A to Z maumivu
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (okay)
Nacho-choma, mazoea (what?)
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (nimechoka)
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (okay)
Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (what?)
Na cho-cho-choma, mazoea
Mazoea, mazoea

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists