Kishore Kumar Hits

Zuchu - Maajab (Deluxe Version) lyrics

Artist: Zuchu

album: Maajab (Deluxe Version)


Nana na naaa
Naa nana naaa na
Naa nana naa na
Naa naa nana
Oooooooh ooooooh
Oooooooh ooooooh
Imara kashikilia, mwache avimbe bichwa
Wallahi kanipatia, anastahili sifa
Chumba kizima chanukia, uturi najifisha
Vidole asimamia, ukingoni nafikishwa
Ananikosha mwili, kwa maji ya madafu
Ye ndo kocha, ananifunza kucheza rafu
Anijua tumbo la ngiri, kwa mafuta ya karafuu
Nikichoka ananikanda kwa mabarafu
Maajab maajab, penzi lake la ajaab
Maajab maajab, mahaba yake ya ajaab
Maajab maajab, penzi lake la ajaab
Maajab maajab, mahaba yake ya ajaab
Kifuani unipaka harua, mikono tende anazichambua
Anilambaa
Kitandani humwaga maua
Vingine hata chembe hakuwa anajua
Namtoa ushamba, mmh eeeh
Na nitake nini kwake? Niombe nsipewee
Iwe pemba ama chako chake, nichague mwenyewe eeh
Ah kanipa pombe roho yake, ninywe nilewe eeh
Mambo shega ni mwake mwake, mangaka msewe eeh
Libandikee, penzi kama gazeti walisomee
Tuwa adabishe, sangara shombo vibetwe tuwang'oe
Ni kila nilishe, chapati za alizeti, ni none
Tuwafungishe midomo uzi cement uwashonee
Ananikosha mwili kwa maji ya madafu
Ye ndo kocha, ananifunza kucheza rafu
Anijua tumbo la ngiri kwa mafuta ya karaafu
Nikichoka, ananikanda kwa mabarafu
Haluwa haluwa, hunipa vitamu laini lainii
Haluwa haluwa, kinyama cha hamu uhondo utosiini
Haluwa haluwa, sili kwa kijiko nalishwa kwa ulimi
Haluwa haluwa, napewa hadi vya mwiko sahani ntake nini?
Oooooh oòoooh ooooooh

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists